Mmecheza na tim ambayo sio wazoefu wa haya mashindano, subirini Al ahly or Vita club mtachapwa nyingi sanaa....
Vivaa Wydad Casablanca
kocha mshenzi badala ya kuweka mikakati ya ushindi ye kashinda jana yote anasoma magazeti...yule refa alikua fair sanaKapaniki huyo! Kwani hizo kalamu za waandishi ndio zilicheza uwanjani?
Saivi majeshi tunayapeleka visiwani, kipigo kwa yeyote anayekaa mbele ya mnyamaaa!Kabisa Mkuu. Najua Azam tunachukua mara ya tatu. Teh teh. [emoji85][emoji85]
Alahly anabebwa sio mchezo.Mbabane alikuja akachukua 4 tukasema mbovu [emoji41]
Nkana akajileta kabebeshwa 3 tukasema hawajui[emoji56]
Saoura kaja nae kachukua 3 safi anasepa[emoji5]
Hivi Hawa kenge, Hawajui kama sisi yanga tunateseka? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Waarabu utawaona we subiri tuWewe mwarabu wa bwawani kwa nini uteseke?
Kwani uwongo? Ulimwengu nae mwarabu?Hahaha maneno ya mtesekaji mwarabu wa jangwani a. k. a chura churani aisee pole sana kwa mateso ya siku ya leo maisha ndivyo yalivyo
Acha uoga wanakuja waarabu origino sasa feki wameshaishaMtahama sana mwaka huu. Mlianza kujiunga kwa Mbabane, Nkana, JS Saoura na sasa mnataka waarabu wengine.
[emoji3][emoji3][emoji3] Mtateseka mpaka basi, hivi bado mko uwanjani? Vyura nyie[emoji3][emoji720][emoji196][emoji3][emoji720][emoji196]
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππpoleSimba nnawajuwa vizuri sana, lakini wasahau ushindi kwa al ahly tim kubwa, au hata vita club. Mark my words mkuu....hii comment siifuti!
UIzidishe juhudi dhidi ya Vita na Ahly..? How [emoji23][emoji23]Mlipokuwa mkijikusanya Taifa hamkujua hayo yote[emoji3][emoji3]
Mkuu hamkaukiwi na maneno nyie ndo Slogan yenu..Afadhali Sibonike hana la kusema.
Naamini tutazidisha juhudi kwa kila timu itakayokuja ha Bongo
This Is Simba..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli.Hamkutegemea. Dah.
Cha ajabu sasa mnaweza kucheza na timu ya hovyo mkaambulia kichapo.Saivi majeshi tunayapeleka visiwani, kipigo kwa yeyote anayekaa mbele ya mnyamaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app