Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Mmecheza na tim ambayo sio wazoefu wa haya mashindano, subirini Al ahly or Vita club mtachapwa nyingi sanaa....


Vivaa Wydad Casablanca

Isiwe Tabu Viva USM ALGERS

IMG_20180507_142740.jpg
 
Mbabane alikuja akachukua 4 tukasema mbovu [emoji41]
Nkana akajileta kabebeshwa 3 tukasema hawajui[emoji56]
Saoura kaja nae kachukua 3 safi anasepa[emoji5]

Hivi Hawa kenge, Hawajui kama sisi yanga tunateseka? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Alahly anabebwa sio mchezo.
Red Card, Penalty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtahama sana mwaka huu. Mlianza kujiunga kwa Mbabane, Nkana, JS Saoura na sasa mnataka waarabu wengine.

[emoji3][emoji3][emoji3] Mtateseka mpaka basi, hivi bado mko uwanjani? Vyura nyie[emoji3][emoji720][emoji196][emoji3][emoji720][emoji196]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uoga wanakuja waarabu origino sasa feki wameshaisha
 
Tulieni kwanza nyie baadaye mtakimbia hapa,nyie bado sana kwa namna nilivyoiona am ahaly na as vita,bado ni under......
FB_IMG_1545085329045.jpg
 
Back
Top Bottom