Yaani nilivyo na presha naogopa hata kuangalia.
HahahhahaaEwaaa. Mi na wewe tena ndugu. Shindeni tu basi ujue zawadi inakuja
Hahahaa. Acha tu maana Mikia wakipata goli watakuja kama nyuki.
Kama nakuona naona ulifunga machoDaah. Okwi kapiga mwamba aisee
Hakika MkuuWaarabu tupo nyuma yenu msituangushe...
Pole dear, ila mnacheza vizuri kweli.
Jamaa wanafungika hawa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
We chura nin? Kwann unataka tusumbuliweHawa waarabu sijui wa Zanzibar hawaonyeshi kabisa usumbufu.
Ujue hadi na mie nashangaa yaani hawana uhai kabisa.Pressure ipo juu nashauri hawa waarabu sio wakuwaamini sana watatuliza leo....wanacheza kidhaifu mnoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Waarabu watawatoa moyoKila la heri mnyama yangu [emoji91][emoji91][emoji91]
Yani nilishafumba macho kwa uchungu nikidhani ni goli lile hahaaaaa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mi hata replay sijaangalia nimehisi inaweza kugeuka bao. πππKama nakuona naona ulifunga macho
Simba akipona sana anakula 4-1
Sio waarabu koko hawaWaarabu watawatoa moyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona mambo ndio yameanzaMi hata replay sijaangalia nimehisi inaweza kugeuka bao. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hahaha hahahaSio waarabu koko hawa
Hujambo lakini
Nawashangaa walivyo mdebwedo.Hawa waarabu sijui wa Zanzibar hawaonyeshi kabisa usumbufu.
Nyie andeleeni kumiliki mpira, waraabu watawatoboa kimoja tu ngoma inalala.We chura nin? Kwann unataka tusumbuliwe