Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Ila jamani kusema za ukweli huyu ‘Vidal’ wa Simba yuko vizuri sana.
Anaanzisha mashambulizi makali kwelikweli [emoji1433][emoji1433][emoji1433]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mi hata replay sijaangalia nimehisi inaweza kugeuka bao. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona mambo ndio yameanza
 
Back
Top Bottom