Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Hawa waarabu sijui wa Zanzibar hawaonyeshi kabisa usumbufu.

Hilo hata mimi nimeliona, jamaa hawapo kwa ajili ya kushinda.
Halafu wanapoteza muda kiboya sana.
Bora Al Ahly waje watupe raha, hawa wameshashindwa tayari.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hilo hata mimi nimeliona, jamaa hawapo kwa ajili ya kushinda.
Halafu wanapoteza muda kiboya sana.
Bora Al Ahly waje watupe raha, hawa wameshashindwa tayari.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakuna wa kutoa raha hapa taifa kila atakae kuja anachezea
 
Niliwaambiaje mimi? Huyu jamaa angeinyangua kidogo Simba mngeshalala.
Manula ni overrated, huwa anafanya makosa ya kijinga sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…