Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa waarabu sijui wa Zanzibar hawaonyeshi kabisa usumbufu.
Nyie andeleeni kumiliki mpira, waraabu watawatoboa kimoja tu ngoma inalala.
Hilo hata mimi nimeliona, jamaa hawapo kwa ajili ya kushinda.
Halafu wanapoteza muda kiboya sana.
Bora Al Ahly waje watupe raha, hawa wameshashindwa tayari.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Poa mama mtumishi unaendeleaje jamaniHahaha hahaha hahaha
Tulia ivo ivo aki
Sijambo mimi apa... Vipi
Pigeni sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila hawa waaarabu wanakera. Khaaaa.
Niko gudPoa mama mtumishi unaendeleaje jamani
Ukweli mchungu huu.Nyie andeleeni kumiliki mpira, waraabu watawatoboa kimoja tu ngoma inalala.
Hata mm naona jamaniNiko gud
Hakuna wa kutoa raha hapa taifa kila atakae kuja anachezeaHilo hata mimi nimeliona, jamaa hawapo kwa ajili ya kushinda.
Halafu wanapoteza muda kiboya sana.
Bora Al Ahly waje watupe raha, hawa wameshashindwa tayari.
Sent from my iPhone using JamiiForums
NimelalaHata mm naona jamani
Uko wapi eti
HahahhhaNimelala
Idawa maendeleo hayana chama yaan unamshabikia mwarabu sawa banaNyie andeleeni kumiliki mpira, waraabu watawatoboa kimoja tu ngoma inalala.