Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😂😂😂😂 kweli ana presha.Hamna Yanga humo ni waarabu hao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 kweli ana presha.Hamna Yanga humo ni waarabu hao.
Mita taaanooo injiniaaa au nne na nusuuuu ni tanoo hizoooSoma hiyoooooooooooooooooo
HT Simba 1 yanga 0.Hahahaaaa kwani hamjui kua yanga mmekua waarabu leo somaaaaa hiyoooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilibidi ziwe tatu mpaka saizi uzembe wenu tu, ngoja waarabu tukajipange sasa.
Akuuuu
Hahahaaaa. Aiseeee.
Hii mechi ni muhimu sana tushinde.Hawa jamaa plan yao ni kutafuta draw, pengine baada ya hili goli wanaweza kufunguka zaidi.
Maaaaaaaaaanh
Okwi ni genius aiseeee. Goli zuri, mpambe mimi sina neno. [emoji4]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Usijali MtotoNimejaa mwanzo mwisho
Asantee okwiiiiiii jamaniii
Umeona eee
Mnaanza kujivua tutasikia mengi leo
Tutaziweka pale pale tulipoziweka baada ya mechi ya Nkana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hatari sana hizi mambo za Utani.
Bado uko na waarabu [emoji23]Tutaziweka pale pale tulipoziweka baada ya mechi ya Nkana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hatari sana hizi mambo za Utani.