Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Nyie wakuda wa Msimbazi hongereni, mmecheza vizuri.
Mpira umeisha sasa mambo mengine yaendelee, ushindi wenu ni sifa kwetu sote maana sote tu Watanzania.
Mengine yalikuwa changamsha genge tu [emoji41].

Tanzania comes first [emoji12]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole uwe unaangalia na timu za kushabikia
 
Nyie wakuda wa Msimbazi hongereni, mmecheza vizuri.
Mpira umeisha sasa mambo mengine yaendelee, ushindi wenu ni sifa kwetu sote maana sote tu Watanzania.
Mengine yalikuwa changamsha genge tu [emoji41].

Tanzania comes first [emoji12]

Sent from my iPhone using JamiiForums

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiii huwezi ujue ha ha ha hapana nendeni kwenu Algeria
 
Full time Simba 3-0 SSC. Hongereni sana Mikia FC ila kelele hatutaki mjini..

Hii timu ni mdebwedo msijisifu sana,tunawasubiri vitalO na Alalhy
 
Back
Top Bottom