Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016

Vyura FC kweli mko Next Level


Sishangai kwani hata Hispania kuna wapo mashabiki wa vitimu sijui Rayo Volcano ukiwauliza kwa nini wasishabikie Barca au Madrid majibu ni kuwa timu yao ni bora zaidi
 
Kuumia kutoka sare na karibia timu ya taifa ya Misri? Simba tumewaachia akina Ndanda na JKT Mgambo
Al Ahly siku zote ina ma-star wengi wa timu ya taifa,ila mara nyingi hapa Dar kama Simba tunacheza nao huwa tunawapiga vuzuri tu.Kuna kipindi ndani ya dk 30 za kipindi cha kwanza tuliwanywesha 3-0 wakaomba poo ili mchezo uchezwe kesho yake.
 
Mkuu Yanga hii usipoipenda ni ujeuri tu, kwa sasa ipo next level
Next level? Labda kwa African Sport Ndanda,Kagera Sugar,za huko Rwanda,Comoro,Botswana,Mauritius n.k ila si za pande za Africa ya kati,magh au kask.
 
Next level? Labda kwa African Sport Ndanda,Kagera Sugar,za huko Rwanda,Comoro,Botswana,Mauritius n.k ila si za pande za Africa ya kati,magh au kask.
wapi hata kwa ndanda FC huwa wanaomba mbeleko wapunguzwe mchezaji mmoja ndiyo washinde 2-1
 
wapi hata kwa ndanda FC huwa wanaomba mbeleko wapunguzwe mchezaji mmoja ndiyo washinde 2-1
Ha ha ha,hawa jamaa wanachekesha sana,eti wa kimataifa hata Nusu Fainali ya haya makombe wanayasikia tu kwa jirani yao sijui nani vile halafu shobo nyingii.Za hapa tu wanacheza 15 badala ya 11. Jana nilimhurumia Tambwe,yaani kumbe bora Simba ilimuacha tu maana hatupendi magoli ya offside sisi...jana yalizimwa.
 
mimi niwashauri tu,

vyura fc msipeleke timu CAIRO, Mkijifanya kichwa ngumu pelekeni ila kitakachowapata hatutaki kusikia VISINGIZIO 1000!
 
unatujazia saver nawewe
Mkuu hyo wameshatupia

 
simba wameadvance zaid sasa hawaitwi wamchangani tena bali wamatopeni
 
simba wameadvance zaid sasa hawaitwi wamchangani tena bali wamatopeni
Ha ha,mtasubiri sana...wenyewe mnajua kinachoenda kutokea Cairo....ni nje tu.Mkienda shirikisho napo match ya kwanza tu nje...Yanga wa Kimataifa
 
Yanga kwishney, pumbavu zao. Mimi nawashangaa mashabiki na viongozi wa Yanga siku zote, kabla ya mechi yeyote muhimu watafanya matambiko ya kufa mtu huko Pemba na majigambo ya kijinga kibaooooo. Cha kushangaza, wao wanafikiri mpira unachezwa kwenye media na publicity za kijinga mitaani badala ya uwanjani. Wanakwenda Cairo ni kujipa haibu tu kwani history yao inaonyesha watarudi na makapu ya kupachikwa makombora ya kigaidi. Ushauri wangu kwao ni wasuse tu kwenda huko ili waondokane na haibu!
 
Ha ha,mtasubiri sana...wenyewe mnajua kinachoenda kutokea Cairo....ni nje tu.Mkienda shirikisho napo match ya kwanza tu nje...Yanga wa Kimataifa
simba anamuda gani anayasikia tu mashinda haya? ujio wa azam unaighalimu simba..japo mnajipendekeza eti nyie ni ndgu moja! hahaha
subiri uone hasira za azam.. mtaishia nafasi ya tatu
 
Ubingwa ligi kuu tunachukua, pamoja na kombe la FA, Alafu sisi ndo tunachagua team ya kucheza shirikisho nafasi ya shirikisho tunawapa ndanda sasa nyie wa matopeni mtasubiri sana, sie wakimataifa tunagonga mihuri tu
 
unatujazia saver nawewe

Publicity hizi za kijinga ndizo zinawakwamisha watanzania. Wengi tunajuwa Yanga mbele ya waarab si lolote wala chochote, boga tu. Wameenda kuua watu huko Pemba ili wafudhu, wapi. Kama wataenda Misri lazima watarudi na magunia ya haibu na visingizio! Ushuzi wao.
 
nyie mtaendelea kupumuliwa nyuma tu..maana mkiachwa kidogo mnaanza kuwasha
 
kama ni rahisi nawew toa uwe bingwaa..domo refu kama una lamba ice cream ya mkopo!
Timu ya Manji mnamaneno kama mama wa kiswahili...subiri siku mkimtimua manji atawadai mabilioni ya kuendesha timu kwa pesa zake...
 
wamatopeni je wanalolote mbele ya vijitimu ambavya havijawahi hata kuwaza kushiriki club bingwa?
 
Timu ya Manji mnamaneno kama mama wa kiswahili...subiri siku mkimtimua manji atawadai mabilioni ya kuendesha timu kwa pesa zake...
wewe umemuona manji tu? kweli za kuambiwa changanya na za kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…