Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016

Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016

Mwarabu ameshatoa mahari na tumepokea.kinachofuata bibi amfuate mume wake akapigwe goli 4 apate na mimba.Mke wa mwarabu huyooo!
 
simba anamuda gani anayasikia tu mashinda haya? ujio wa azam unaighalimu simba..japo mnajipendekeza eti nyie ni ndgu moja! hahaha
subiri uone hasira za azam.. mtaishia nafasi ya tatu
Nyie mnaocheza kila mwaka mmefanya lipi la maana...
 
Ubingwa ligi kuu tunachukua, pamoja na kombe la FA, Alafu sisi ndo tunachagua team ya kucheza shirikisho nafasi ya shirikisho tunawapa ndanda sasa nyie wa matopeni mtasubiri sana, sie wakimataifa tunagonga mihuri tu
Ndoto hizo...
 
Ni Simba tu katika historia ya mpira wa Tanzania ndo imeweza kuwatoa wapinzani wao kwao.Ilifungwa na Mafurira Wanderers 4-0,ikaenda kuwafunga kwao 5-0 na kuwatoa kwenye mashindano,iliitoa Zamalek nyumbani kwao ilhali Zamalek ni bingwa mtetezi.Sio ajabu CAF wametoa orodha na kuiweka Simba timu bora Afrika Mashariki.Lakini hawa yanga wanaruka ruka tu kama chura,wanalitia aibu taifa,imewahi kufungwa goli 6-1 na Raja Casablanca.Wanaenda kututia aibu tena.
 
Al Ahly siku zote ina ma-star wengi wa timu ya taifa,ila mara nyingi hapa Dar kama Simba tunacheza nao huwa tunawapiga vuzuri tu.Kuna kipindi ndani ya dk 30 za kipindi cha kwanza tuliwanywesha 3-0 wakaomba poo ili mchezo uchezwe kesho yake.
Habari za kusikia kwenye vijiwe vya kahawa wala hazipotei, Lini simba mlicheza na Al ahly halafu wakaghairisha mechi mpaka siku nyingine!!!! Nadhani hata timu zenyewe za Misri huzifahamu wewe
 
Mwarabu ameshatoa mahari na tumepokea.kinachofuata bibi amfuate mume wake akapigwe goli 4 apate na mimba.Mke wa mwarabu huyooo!
Ndio maana hamtaki kushiriki game za kimataifa mnaiogopa Libolo fc!!!!! Na mkitokea tu mnae huyo!! Watopeni waoga sana hawa jamaa.
 
wamatopeni je wanalolote mbele ya vijitimu ambavya havijawahi hata kuwaza kushiriki club bingwa?

Nina miaka karibia 20 sasa sishabikii mpira wa Bongo kutokana na uozo ulipo. Ila katika suala la kimataifa, Yanga haitii mkono kwa Simba wewe kama ni shabiki kweli you should know this. Mwaka 1993 Simba si ilikuwa kwenye fainali ya kombe la CAF, when was the last time Yanga ilifikia hapo? So jiulize, nani zaidi? Mtazidi kuua watu huko Pemba ila hamtafik mbali Zaidi ya kuwa wasindikizaji tu na kelele kibaooooo kila mwaka. Mpira hauchezwi Pemba kwa yule mze wa kamati ya maadili wala si magazetini na kwenye midahalo bali uwanjani. Yanga kwa waarab, kwishney!
 
nyie mtaendelea kupumuliwa nyuma tu..maana mkiachwa kidogo mnaanza kuwasha


Yanga kila siku mbona anapumuliwa na waarab na nyie mnawapa support ya kupumuliwa, je hamuwashwi au mmezoea? Kumbuka dogo kuwa mazoea yana taabu, mtajiju!
 
Back
Top Bottom