Kelevra
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 1,053
- 2,010
Mkuu...ukweli ni kwamba vilabu vyetu havina pesa ya kusajili cream...na mbaya zaidi hatuna mfumo mzuri wa kuzalisha hizo cream....lakini hata hizo chache tunazokua nazo zinachukuliwa na timu zenye uwezo.Tunakosea mambo matatu. Mosi, usajili na kikosi hufanywa na viongozi badala ya benchi la ufundi. Pili, maandalizi kabla ya michuano huwa finyu na zaidi midomoni kuliko uhalisi. Tatu, kufungwa au kutoa sare uwanja wa nyumbani. Hayo ni kwa timu ya taifa na klabu zinazotuwakilisha kimataifa.
Samatta na Patrick Ochang walinunuliwa na TP Mazembe lakini Simba haina uwezo wa kumnunua mchezaji tegemeo wa TP Mazembe....Mfano juzi tu Ameuzwa Makusu wa As Vita huko Morocco kwa 1.3 bilion ya Tanzania na mshahara wake kwa mwezi ni takriban 8.5 Milion ya Tanzania kwa mwezi... naweza kusema vilabu vyetu havina uwezo wa kufanya hivi...ndo mana hata wachezaji wakigeni kwetu wengi hawechezi timu zao za taifa wanakuja kuhustle tu huku.