Klabu Bingwa barani Ulaya: Samatta aanza vibaya. Genk wazabwa mabao 6-2, Samatta afunga lakini alimwa kadi nyekundu

Klabu Bingwa barani Ulaya: Samatta aanza vibaya. Genk wazabwa mabao 6-2, Samatta afunga lakini alimwa kadi nyekundu

Bado sana kuwaje!? Kulimwa njano ni ni mapungufu!? Au kwa vile hajafunga zaidi ya 1 !? Safu yake ya ushambuliaji imetupia 2 huku safu yao ya ulinzi imeruhusu 6, Samatta binafs incompetence yake iko wapi hapo!?
Hana hadhi ya kucheza ligi kubwa! Kama tunavyompa hizo sifa
 
Mbwana Ali samatta amekuwa mtanzania wa kwanza kufunga goli kwenye michuano ya uefa champions League...awali rekodi ulikuwa inashikiliwa na mkongwe kassim manara aliyefunga kwenye michuano ya cup winners cup ambayo Kwa sasa yanaitwa uefa cup...hongera kwake Kwa rekodi hiyo!!
 
daima mwanzo mgumu....kufungwa si ajabu..hata brazil iliwahi kuchapwa 7 na Germany
 
Hivi mnakimbiliaga nini jamani? Kwanini usisubiri mpira uishe ndipo uje na ‘uchambuzi’ wako huu uchwara?
Kadi nyekundu ilifutwa baada ya refa kujidhihirisha kupitia VAR kwamba haikuwa stahiki na badala yake kapewa ya njano pekee.

Ni kweli ni mwanzo mbaya ila bado mimi kama Mtanzania najivunia Samatta.
Chadema huyo..... Wao hukimbiliaga mambo mabaya tu, sasa hapo alikuwa anafurahia hiyo kadi nyekundu!
 
Samatta 1 match 1 goal...
Next ni Napoli then Liverpool.
 
Hivi mnakimbiliaga nini jamani? Kwanini usisubiri mpira uishe ndipo uje na ‘uchambuzi’ wako huu uchwara?
Kadi nyekundu ilifutwa baada ya refa kujidhihirisha kupitia VAR kwamba haikuwa stahiki na badala yake kapewa ya njano pekee.

Ni kweli ni mwanzo mbaya ila bado mimi kama Mtanzania najivunia Samatta.
Kweli mamiii
 
Back
Top Bottom