Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Hana hadhi ya kucheza ligi kubwa! Kama tunavyompa hizo sifaBado sana kuwaje!? Kulimwa njano ni ni mapungufu!? Au kwa vile hajafunga zaidi ya 1 !? Safu yake ya ushambuliaji imetupia 2 huku safu yao ya ulinzi imeruhusu 6, Samatta binafs incompetence yake iko wapi hapo!?