Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Mambo ya kissenge timu kubwa kutegemea mchezaji mmoja, eti bila yeye mambo hayaendi.Messi hana wa kumsaidia pale, kila kitu yeye tu. So kupata ushindi ni ngumu mno....Raisi afanye kuisuka upya timu. Huu ndio wakati wake kabla MESSI/Mwalimu hajastaafu, vijana wacheze chini ya Messi wapate IDEAS na kujifunza mengi kutoka kwake....hii ni fursa kubwa sana.
Mbona Ronaldo mzee wa mipira ya hewani kaondoka Madrid na bado washkaji wanatawala UEFA kama kawa.