Messi hana wa kumsaidia pale, kila kitu yeye tu. So kupata ushindi ni ngumu mno....Raisi afanye kuisuka upya timu. Huu ndio wakati wake kabla MESSI/Mwalimu hajastaafu, vijana wacheze chini ya Messi wapate IDEAS na kujifunza mengi kutoka kwake....hii ni fursa kubwa sana.