Klabu Bingwa Ulaya mzunguko wa 16 bora

Man United tunakusalimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu timu mbili nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudia matapishi yako
Siku nyingine uwe na akiba ya maneno.
Mkuu mimi ni shabiki kindakindaki wa man u hiyo ilikuwa desember 17, Man U ya morinho ambayo kila game ambayo anacheza matokeo yalikuwa yanajulikana kama sio kufungwa bac draw au kushinda kwa kutokea nyuma na kwa mbinde.
Ujio wa OGS ndo umesababisha kitokee hiki, wakati naandika hii post tulikuwa tumepitwa point karibu 14 na timu ya Top four na Gd karibu ishirini, lakin sa hiv Mtu wa 3 katupita point 3 tu, sidhan kama wewe ulikuwa unategemea hiki wakati draw inatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…