SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Hayo ndio maono sasa.hapo kila mtu anaionea huruma Man United lakini cha kushangaza anaweza akatoboa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ndio maono sasa.hapo kila mtu anaionea huruma Man United lakini cha kushangaza anaweza akatoboa
Huo ndio ushabiki sasa.Naiona njia nyeupe kwa team yangu Man U
GGMU
Man United tunakusalimiaDraw imebalance, wote nguvu zinakaribiana uwezo isipokuwa United ni wamebebeshwa mzigo mzito.
Atletico vs juventus 50/50
Spurs vs BvB 50/50
Liverpool vs Bayern Munich 50/50
Fc Porto vs Roma nayo 50/50
Ajax vs Madrid 50/50
City, Barcelona, na PSG hao naona kuna 90% ya kwenda next round
Tukutane february.
Na wameokota kweli kambaniCAMBANE: Isome (KAMBANI). Ni kuokota mipira kambani tu .. hata ikiwa MBACANE (MMBAKANE)... Ni kufanya watu wabakane tu [emoji16]
Rudia matapishi yakoHapo kweli kabisa mkuu siioni nafasi ya man u kusonga mbele..
Cha ajabu timu mbili njeWe unakariri bro Bayern unayoijua wewe sio hii ya msimu huu. Kwenye ligi ya kwao hata bor Dortmund anawatoa pumu na Bayern aligongwa 3-2 sasa ninaamini Liverpool tunamtoa tena bila pressure yoyote mark my words.
Team zilizo kwenye form na ni hatari ni
Juventus
Dortmund
Psg
Liverpool wengine ni wagonga nyundo tu Kama Madrid full kuunga unga
Ndio wa kwanza kutolewa kwa timu za germanySiyo kwa Dortmund. Labda hao Schalke na Bayern.
umeona watu tunabashiri hasa.kule neymar kaishia kutukana njiani ovyo
Man u inMan u out
Safi sana! Hiyo ndio sokaMan u in
NAONA KWA MBAAAAAAAALI UNAKODOA MACHO KAMA MCHAWI KADONDOKA,.....Livapuuuuu,Manure na Tottennyege nje
Rudia matapishi yako
Mkuu mimi ni shabiki kindakindaki wa man u hiyo ilikuwa desember 17, Man U ya morinho ambayo kila game ambayo anacheza matokeo yalikuwa yanajulikana kama sio kufungwa bac draw au kushinda kwa kutokea nyuma na kwa mbinde.Siku nyingine uwe na akiba ya maneno.