Klabu Bingwa Ulaya mzunguko wa 16 bora

Klabu Bingwa Ulaya mzunguko wa 16 bora

Draw imebalance, wote nguvu zinakaribiana uwezo isipokuwa United ni wamebebeshwa mzigo mzito.

Atletico vs juventus 50/50
Spurs vs BvB 50/50
Liverpool vs Bayern Munich 50/50
Fc Porto vs Roma nayo 50/50
Ajax vs Madrid 50/50
City, Barcelona, na PSG hao naona kuna 90% ya kwenda next round

Tukutane february.
Man United tunakusalimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unakariri bro Bayern unayoijua wewe sio hii ya msimu huu. Kwenye ligi ya kwao hata bor Dortmund anawatoa pumu na Bayern aligongwa 3-2 sasa ninaamini Liverpool tunamtoa tena bila pressure yoyote mark my words.
Team zilizo kwenye form na ni hatari ni
Juventus
Dortmund
Psg
Liverpool wengine ni wagonga nyundo tu Kama Madrid full kuunga unga
Cha ajabu timu mbili nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudia matapishi yako
Siku nyingine uwe na akiba ya maneno.
Mkuu mimi ni shabiki kindakindaki wa man u hiyo ilikuwa desember 17, Man U ya morinho ambayo kila game ambayo anacheza matokeo yalikuwa yanajulikana kama sio kufungwa bac draw au kushinda kwa kutokea nyuma na kwa mbinde.
Ujio wa OGS ndo umesababisha kitokee hiki, wakati naandika hii post tulikuwa tumepitwa point karibu 14 na timu ya Top four na Gd karibu ishirini, lakin sa hiv Mtu wa 3 katupita point 3 tu, sidhan kama wewe ulikuwa unategemea hiki wakati draw inatoka.
 
Back
Top Bottom