Mimi nina open mind. Nilishasikia hizo habari za wapinga HIV. Pamoja na za wanaopinga kwamba US hawajawahi kufika mwezini, pamoja na za wanaosema dunia ni bapa, pamoja na za wanaosema Tupac yupo hai bado.
Nikazipuuzia zote kama "conspiracy theory".
Sasa leo Napata mtu anayetaka kunielewesha, kwa kutumia logical reasoning, kwamba H.I.V haipo.
Hili ni somo kubwa sana ambalo silijui kwa uhakika. Huyu mtu anaweza kunifundisha kitu kipya.
Ngoja nimsikilize. Nitoe habari zangu zote ninazozijua kuhusu H.I.V kichwani ili niweze kuutafuta ukweli.
Ndiyo maana nikakwambia nipo neutral. Nakupa nafasi kujenga case kwamba H.I.V is fake bila ya prejudice yoyote kutoka kwangu. Ushaelewa?
Sasa tuanze somo letu...najua umeshawahi kupitia hizi unazosema ni conspiracy lakini labda hukupata wasaa wa kufanya uchunguzi wa karibu..unajua wengi huwa wanapenda kusoma mambo mbalimbali tena mengine ni nyeti lakini wanayaacha tu uchi,hawafuatilii kwa undani...na si kosa lao,inaweza kuwa hawakupata muda wa kutosha kufuatilia.
Jambo unalolisoma linakuwa na maana zaidi pale unapolielewa na kuweza kulitumia katika maisha...vinginevyo tutakuwa tunasoma kujaza database ya ubongo elimu isiyokuwa na tija.Sasa elimu hii kwangu imekuwa na tija kwani mpaka sasa nimeshaokoa wengi sana kwa kufanya kwa vitendo(sio hisia au nadharia tu).
Nina evidence za watu niliowaachisha ARVs,watu ambao niliwashauri wasile kabisa ARVs pamoja na kupimwa HIV+ na vipimo hivyo feki.Wote hawa wako vizuri kiafya kwa muda mrefu sasa.
Kama nilivyosema,kuna nyanja kuu 4 unazotakiwa kuzijua ili uweze kutambua uongo huu.Nitaanza kujadili nyanja 3 kati ya hizo na hiyo ya nne itamalizia kama kuna uhitaji.Nyanja zenyewe ni kama zifuatazo:
1.Historia ya uongo huu wa HIV/AIDS
2.HIV mwenyewe,yaani nadharia yake
3.Vipimo vinavyoitwa vya HIV
4.madawa ya ARVs ambayo hutumika kuwapa watu wanaosadikika kuwa na huyo HIV
Sasa nitajadili kuanzia mada ya 2 hadi ya 4.
Fahamu kwamba,pande zote mbili,yaani wanaounga mkono nadharia ya HIV/AIDS na wale wanaopinga,ZOTE MBILI,zina vitu wanavyoviita scientific facts/proof/evidence ambazo zimewekwa kwenye maandishi na kuwa published.Kila upande una theory zake unazoziamini.
Lakini ili ujue upande gani uko sahihi,hupaswi kujikita kwenye theory zao na mihemko inayotokana na kampeni zao au maneno matamu ya ushawishi unayoyasikia kutoa kwao,bali unatakiwa kuingia field huko mitaani na kwenye vituo vya afya kufanya udadisi huku ukilinganisha kile ulichokisoma kutoka pande zote mbili na kile unachokiona kwa macho yako mwenyewe.Bila kufanya hivyo unaweza kuishia kujadili mada hii kwa kujifurahisha tu kwenye mitandao na huko mitaani,mada hii haitakuwa na maana tena kama hutafanya uchunguzi wako binafsi huko kwenye field.
Nyanja ya kwanza,1:
Nadharia kwamba kuna kirusi kinachosababisha upungufu wa kinga mwilini,kinaambukizwa kwa njia ngono au mchanganyiko wa damu nk na hakuna dawa ya kukiua.
Hiyo ndio nadharia kutoka kwa mainstream doctors,yaani wale wanaounga mkono suala hili.Halafu inabidi ufahamu pia kwamba,wamekuja na nadharia nyingine kwamba unaweza kupata HIV lakini ukaja kuugua baada ya miaka 10 au zaidi.
Madaktari wanaopinga wanasema kwamba,HIV ni jina tu,yaani jina alilopewa kirusi aina ya retrovirus(hata mainstream doctors wanakubali hili) ili aonekane kwamba ana sifa ya kusababisha AIDS,lakini ukweli ni kwamba hakuna retrovirus yeyote duniani mwenye uwezo wa kusababisha ukimwi,hakuna.Pia wapingaji wanasema kwamba retrovirus wote wanapoingia mwilini/damuni hata kama watasababisha tatizo(si tatizo la ukimwi) watafanya hivyo ndani ya kipindi kisichozidi mwezi mmoja.Na hii sio coincidence,bali inatokana na function of their multiplication...yaani hakuna kubahatisha..ndani ya mwezi mmoja tayari retrovirus wataonesha athari kama vile mafua nk...
haizidi mwezi...haya maneno yalisemwa na kuthibitishwa na Prof Peter Duesberg ambaye amefanya kazi ya uchunguzi wa retrovirus kwa zaidi ya miaka 20.Pia hata Prof Luc Montagnier ambaye ndiye anachukuliwa kama mgunduzi wa huyo HIV(kwa jina) anakubali na anajua kwamba huyo HIV anasababisha madhara ndani ya mwezi mmoja na si zaidi ya hapo.
Sasa fact hii inakubalika pande zote mbili lakini inaonekana haipewi attention kutokana na interest za kibiashara tu.Hata watu utakapowaambia kuhusu hili they don't care pengine kutokana na ushabiki au ujinga tu..Kama utahitaji kuwasikiliza hawa maprofesa kutoka pande zote mbili wanasema maneno hayo hayo nitakupa video zao.Hii ni fact inayokubalika sehemu zote mbili...lakini ukija kwa ma doctor wa huku mitaani ukiwauliza watapinga kabisa fact hii,sasa jiulize wao wanapata facts zao wapi?
Sasa fact hiyo hapo juu itumie kulinganisha na kile kinachotokea mitaani au kwenye vituo vya afya.Utagundua/utaona kwamba,wapo watu wengi sana,infact karibu watu wote wenye afya zao wanapopimwa HIV+ bado wanaonekana kuwa wenye afya kwa zaidi ya miaka 10,20,30 kutegemea na jinsi walivyobahatika kuepuka death risks na hawaonekani kudhoofu na hawatumii ARVs...watu hao wapo wengi sana sio wakutafuta.Ndio maana mainstream wamekuja na nadharia yao ya CARRIER ili kurubuni akili za watu zikubali huu mkanganyiko...lakini kibaya zaidi kwao,wanasema hao carriers wako wachache sana....sasa ukweli ni kwamba ukianza kufuatilia mwenyewe utagundua kwamba karibu kila mtu anayepimwa HIV+ halafu hatumii ARVs na ana afya njema,ataendelea kuwa na afya kwa zaidi ya huo mwezi mmoja na hatougua..
Sasa hili linapingana na fact kwamba HIV husababisha tatizo ndani ya mwezi mmoja...zaidi ya hapo maana yake huyo si HIV.Yaani kimantiki ni kwamba,huyo retrovirus aliyepewa hilo jina la HIV hana sifa hiyo ya kusababisha AIDS.
Haya ndio tunayoyaona mitaani na kwenye vituo vya afya,kama hufanyi uchunguzi wako mwenyewe unaweza kuishia kwenye kuamini theories tu.Sasa kwa kuanzia naomba tuanze kujadili hii njyanja ya kwanza kisha twende inayofuata.Kama utahitaji evidence fulani sema nitakupatia.Lakini kama nilivyosema mwanzo,evidnce itakayokusaidia moja kwa moja ni ile utakayoiona kwa macho yako mwenyewe lakini baada ya kupata uelewa wa hizi scientific theories ili uweze kulinganisha vizuri.
Mfano halisi ni huyo mchezaji kwenye uzi huu.Mchezaji huyo anaonekana kucheza kwa muda mrefu na anaonekana mwenye afya...lakini wao wamekuja kumpima baadaye sana na kusema kwamba ana HIV..sasa kama HIV hasababishi tatizo ndani ya mwezi mmoja,Je,HIV huyo atakuwa ametoka sayari gani?Maana hapa duniani retrovirus wote akiwemo huyo aliyepewa jina la HIV husababisha tatizo ndani ya mwezi tu.Sasa angalia huyo mchezaji alivyo na afya.
Hatutegemei huko kwenye timu yake apate kituo cha kwenda kuchukua ARVs....