Klabu imevunja mkataba na staa wa Cameroon baada ya kugundua kuwa ana HIV

Haswaa....na mimi huwa sisemi tu hovyo mpaka mtu awe tayari kusikiliza,hii ni kwasababu naepuka kupoteza muda kwa mtu asiye msikivu.

Haswaa...tena nina logical reasons za kutosha tu to back up what I say...na tena kama utatenga muda wako kufuatilia kwa ukaribu suala hili,utagundua kwamba suala hili limejaa mikanganyiko mingi sana,na hii mikanganyiko ndio inayothibitisha kwamba HIV/AIDS ni uongo wa kutupa...yaani hakuna AIDS inayosababishwa na HIV hata kidogo.

Sasa nikipata muda nitaku quote kukuelezea sababu za kisayansi na kutoa uthibitisho halisi kwamba hakuna HIV/AIDS.Pia nitakupa uthibitisho kwamba ARVs ndizo zinazoua kwa wale wanaozitumia...propaganda missiles kama Magic Johnson hawatumii ARVs kama watu wanavyoaminishwa....sasa angekua ameshakufa au mwili wake ungeshadhoofika...

Mimi mpaka sasa nina open mind. Nimesema kwamba nishamsikia Thabo Mbeki anasema haya. Kwa hiyo si habari ninayoisikia kwako kwa mara ya kwanza. Thabo Mbeki is controversial, but he is no slouch. So anything he says is of interest to me.

So mpaka sasa consider me neutral on this, sijui kama H.I.V ipo au haipo.

Nafuatilia arguments tu.

Logical reasons:
1.Watu wasiotumia ARVs wanaishi wakiwa na afya njema kwa miaka yote ya maisha yao(technical) hata kama wamepimwa HIV+(mifano hii ipo mingi tu mitaani),lakini wale wanaotumia ARVs wanaanza kuonesha dalili za matatizo baada ya muda fulani kutegemea na lifestyle ya mtu.

Unajuaje fulani anatumia ARVs na fulani hatumii? Unahakikishaje hilo?

2.Wanaotumia ARVs hufa kwa matatizo ya ini,figo,moyo/presha,anaemia,kisukari na cancer...hakuna ugonjwa specific unaosababishwa na HIV.Halafu utakuja kujua kwamba hata huyo HIV anayepigiwa kampeni hayupo,ni HIV wa vipimo tu.Refer kwamba suala hili la ku fake ugonjwa kwa kutumia vipimo si geni...fuatilia kuhusu Dr Eugene Lazowski alivyotumia fani yake ya udaktari ku fake ugonjwa ili kuwaokoa Jews kipindi cha vita ya pili ya Dunia.

Kwa hiyo unasema ukiwekewa lita za damu ya mtu anayesemwa kuwa ana full blown H.I.V hutapata hiyo H.I.V kwa sababu haipo?

Kuna sababu nyingi sana ila kwa leo nimetingwa...nitaendelea kukuthibitishia taratibu tena kwa kukupa evidence...ukisoma haya vizuri na kufuatilia kwa ukaribu utagundua kwamba HIV/AIDS is just a MINDSET disease...yaani HIV/AIDS ni kama DINI tu....watu hawajui kama kuamini HIV/AIDS ni sawa na mtu mwenye hallucinations...

Nitarudi baadaye...

Tafadhali nijibu maswali yangu ya juu hapo.
 
Mimi mpaka sasa nina open mind. Nimesema kwamba nishamsikia Thabo Mbeki anasema haya. Kwa hiyo si habari ninayoisikia kwako kwa mara ya kwanza. Thabo Mbeki is controversial, but he is no slouch. So anything he says is of interest to me.

So mpaka sasa consider me neutral on this, sijui kama H.I.V ipo au haipo.

Nafuatilia arguments tu.

Kiranga you are so controrvesial my friend....kuna post ulisema HIV/AIDS is real..halafu sasa hivi unasema uko neutral..he he heee...anyway tuachane na hayo,hapa tupo kueleweshana,nitakuwa pamoja na wewe kwa kuwa uko tayari kusikiliza.

..
Unajuaje fulani anatumia ARVs na fulani hatumii? Unahakikishaje hilo?....

Fulani ukimaanisha Magic Johnson au?Kama ni kuhusu hawa wa huku mtaani ni kwamba...mimi siongei kwa hisia tu..nafanya utafiti kwa kufuatilia hao watu kwa ukaribu,hivyo najua nani anatumia na nani hatumii kwa hawa ninaowafuatilia...pia kuhus Magic Johnson iko kitaalam zaidi, kukuthibitishia inahitaji mtiririko wa logical statements,hii ni kwasababu siishi naye..lakini kwa kutumia hizo logical proofs iko wazi kabisa kwamba Magic hatumii ARVs..he hee...kinachotakiwa ni proof beyond reasonable doubt,proof beyond doubt si lazima ukione kitu moja kwa moja..mtiririko wa logical statement peke yake unatosha.Pia suala hili si la msingi sana ili kuthibitisha kwamba HIV/AIDS ni uongo...kuna mambo mengi muhimu na yenye mantiki naweza kuyatumia kuthibitisha kwamba HIV/AIDS ni uongo,tena uongo uliopindukia....Magic Johnson kutumia au kutotumia ARVs haithibitishi kwamba HIV/AIDS ni kweli au uongo.

....Kwa hiyo unasema ukiwekewa lita za damu ya mtu anayesemwa kuwa ana full blown H.I.V hutapata hiyo H.I.V kwa sababu haipo?

He he hee..swali lako ni controrvesial..linajipinga lenyewe..kama HIV hamna hata ukinifanyia total blood transfusion ni kazi bure tu...kile unachoambiwa wewe kwamba ni HIV si kitu halisi..ni HEWA tu..ndio maana nikakwambia ufuatilie historia ya Dr Eugene Lazowski ili upate mwanga kabla sijaanza kukupa shule hii.

Halafu pia...hata kama tukichukulia kwamba HIV yupo...ina maana ili uambukizwe inabidi uwekewe lita kadhaa za damu?This is very absurd!!!....huwezi kuwa na epidemic under that circumstance...

Kwanza rafiki yangu unatakiwa kujua nyanja kuu 4 ambazo hawa jamaa wamezitumia kuturubuni akili zetu ili tuamini kwamba kuna 'DINI' inayoitwa HIV/AIDS...ukijua nyanja hizi vizuri ndio itakuwa rahisi kwako kuelewa...nyanja moja wapo ni hii inayohusu vipimo 'eti' vya HIV...

Ni lazima ujue kwamba kinachopimwa kwenye hivyo vipimo sio HIV kama ulivyoaminishwa..hapa ni pazito sana..na ndipo mahali panapodanganya wengi mpaka wengine hufikia kujiua wanapoambiwa kwamba wana HIV...sasa,Je,unajua mechanism wanayoitumia kukudanganya kwamba una HIV kwa kutumia vipimo hivi?Ukijua hili ndio itakuwa rahisi kuelewa ya huko mbele...nitarudi mkuu..tutakwenda taratibu tu...mambo haya hayahitaji haraka.
 
21 yrs unakuwa na HIV,duh!sijui inakuwaje hapo
 
Kiranga you are so controrvesial my friend....kuna post ulisema HIV/AIDS is real..halafu sasa hivi unasema uko neutral..he he heee...anyway tuachane na hayo,hapa tupo kueleweshana,nitakuwa pamoja na wewe kwa kuwa uko tayari kusikiliza.

Mimi nina open mind. Nilishasikia hizo habari za wapinga HIV. Pamoja na za wanaopinga kwamba US hawajawahi kufika mwezini, pamoja na za wanaosema dunia ni bapa, pamoja na za wanaosema Tupac yupo hai bado.

Nikazipuuzia zote kama "conspiracy theory".

Sasa leo Napata mtu anayetaka kunielewesha, kwa kutumia logical reasoning, kwamba H.I.V haipo.

Hili ni somo kubwa sana ambalo silijui kwa uhakika. Huyu mtu anaweza kunifundisha kitu kipya.

Ngoja nimsikilize. Nitoe habari zangu zote ninazozijua kuhusu H.I.V kichwani ili niweze kuutafuta ukweli.

Ndiyo maana nikakwambia nipo neutral. Nakupa nafasi kujenga case kwamba H.I.V is fake bila ya prejudice yoyote kutoka kwangu. Ushaelewa?

Fulani ukimaanisha Magic Johnson au?

Mtu yeyote yule. Unajuaje huyu anatumia ARV na huyu hatumii?

Kama ni kuhusu hawa wa huku mtaani ni kwamba...mimi siongei kwa hisia tu..nafanya utafiti kwa kufuatilia hao watu kwa ukaribu,hivyo najua nani anatumia na nani hatumii kwa hawa ninaowafuatilia...

Hujajibu swali unajuaje. Umesema tu unafanya utafiti. Hilo si jibu la swali langu. Sijakuuliza kama unafanya au hufanyi utafiti. Nimekuuliza unajuaje?

pia kuhus Magic Johnson iko kitaalam zaidi, kukuthibitishia inahitaji mtiririko wa logical statements,hii ni kwasababu siishi naye..

Kama huishi naye utajuaje kama anatumia au hatumii? Let's see.

lakini kwa kutumia hizo logical proofs iko wazi kabisa kwamba Magic hatumii ARVs..he hee...kinachotakiwa ni proof beyond reasonable doubt,proof beyond doubt si lazima ukione kitu moja kwa moja..mtiririko wa logical statement peke yake unatosha.

Hizo logical statements ziko wapi? Hizo logical statements zinazoonesha Magic Johnson hatumii ARV ziko wapi?

Pia suala hili si la msingi sana ili kuthibitisha kwamba HIV/AIDS ni uongo...

Sasa kwa nini umeanza kulijibu, ukashindwa, halafu unaliita si la msingi?

Linakuwa si la msingi kwa sababu umeshindwa kulijibu? Si wewe ambaye umesema Magic Johnson hatumii ARV?

Kushindwa kutetea kauli yako uliyoitoa kwa mbwembwe zote unaona si jambo la msingi?

kuna mambo mengi muhimu na yenye mantiki naweza kuyatumia kuthibitisha kwamba HIV/AIDS ni uongo,tena uongo uliopindukia....Magic Johnson kutumia au kutotumia ARVs haithibitishi kwamba HIV/AIDS ni kweli au uongo.

Kwa hiyo uliposema Magic Johnson hatumii ARVs ulikurupuka siyo? Hujathibitisha hilo na inaonekana umeshindwa kuthibitisha hilo.

He he hee..swali lako ni controrvesial..linajipinga lenyewe..

Swali linajipinga wapi? Kivipi?

Nimeuliza, mtu asiye na HIV akipewa lita na lita za damu ya mtu anayepimwa na kusemwa ana H.I.V kwa vipimo, full blown, huyo asiye na H.I.V hatapata hicho kinachoitwa H.I.V ?

Swali linajipinga wapi? Unaweza kunionesha?

kama HIV hamna hata ukinifanyia total blood transfusion ni kazi bure tu...kile unachoambiwa wewe kwamba ni HIV si kitu halisi..ni HEWA tu..ndio maana nikakwambia ufuatilie historia ya Dr Eugene Lazowski ili upate mwanga kabla sijaanza kukupa shule hii.

Na kama H.I.V ipo?

Halafu pia...hata kama tukichukulia kwamba HIV yupo...ina maana ili uambukizwe inabidi uwekewe lita kadhaa za damu?This is very absurd!!!....huwezi kuwa na epidemic under that circumstance...

Nani kasema ni lazima uwekewe lita kadhaa? Unaeza kunionesha sehemu hiyo nilipoandika ni lazima uwekewe lita kadhaa?

Unafahamu risk factor katika magonjwa ya kuambukiza ya damu inavyopanda kadiri ujazo wa damu unavyopanda?

Unafahamu intensity wa count of agents unavyopanda na volume?

Unafahamu idadi ya virusi inavyopanda na ujazo?

Unaelewa kwamba swali lako ndilo absurd kwa sababu tunataka kutest H.I.V kama inaweza kuwa transmitted na damu, ili tuwe na hakika na kwamba tuna transmit virusi vingi kabisa kama vipo, tutatumia lita au tutatunia tone moja?

Kwanza rafiki yangu unatakiwa kujua nyanja kuu 4 ambazo hawa jamaa wamezitumia kuturubuni akili zetu ili tuamini kwamba kuna 'DINI' inayoitwa HIV/AIDS...ukijua nyanja hizi vizuri ndio itakuwa rahisi kwako kuelewa...nyanja moja wapo ni hii inayohusu vipimo 'eti' vya HIV...

Umesema utatoa logical reasons kupinga uwepo wa H.IV, mpaka sasa hujatoa hata moja.

Ni lazima ujue kwamba kinachopimwa kwenye hivyo vipimo sio HIV kama ulivyoaminishwa..hapa ni pazito sana..na ndipo mahali panapodanganya wengi mpaka wengine hufikia kujiua wanapoambiwa kwamba wana HIV...sasa,Je,unajua mechanism wanayoitumia kukudanganya kwamba una HIV kwa kutumia vipimo hivi?Ukijua hili ndio itakuwa rahisi kuelewa ya huko mbele...nitarudi mkuu..tutakwenda taratibu tu...mambo haya hayahitaji haraka.

H.I.V inapimwa most commonly kwa antibodies (immunoassay). Kwa hiyo unataka kusema tests zote za virus zinazotumia antibodies maana yake virusi hivyo havipo?
 
Mkuu Magic alicheza kwa muda lakini baadhi ya wachezaji wakiongozwa na Karl Malone hawakuwa comfortable kucheza na Magic. Kwanza ilikuwa minong'ono ya timu nyingine na minong'ono hiyo ikaingia mpaka ndani ya LA Lakers na hata baadhi ya wachezaji kuonyesha wasiwasi wa kufanya mazoezi na Magic katika maandalizi ya mechi zao. Hatimaye minong'ono hiyo kuwa public na kumfikia Magic ambaye aliamua kuretire.

Niliangalia document yote kuhusu hii issue na kwa kweli inasikitisha sana lakini nilifurahishwa sana na Magic na mkewe, mkewe hakuparticipate kwenye hiyo documentary lakini Magic alielezea mchango wake mkubwa wa yeye kuona thamani ya kuendelea kuishi baada ya kumruhusu mkewe aondoke na mkewe kugoma kuondoka na kutaka kuendelea na ndoa yao pamoja na yeye kuwa muathirika..

BAK Shukran kwa kuleta khabari hii kuhusu magic kiukweli kwa ulimwengu tulionao leo mtu kumnyanyapaa mwenzie kwa kiasi hiki haikubaliki kama miaka ya 90 watu waliweza kutomtenga mtu japo sio wote kisha hawa wafereji wangeweza tu kutangaza kafeli vipimo ila la kuweka bayana ugonjwa wake si uungwana.
 
Shukrani Mkuu Guasa Amboni.

Waarabu ni washenzi sana hawa watu wacha wajimalize tu wenyewe huko Syria.. Si watu hawa!
 
Nimecheza Mpira mama very difficult kufanya mazoezi hata kama ukidanya any weakness itasanuka ni vigumu sana nimeona picha zake katika google ameonekana wakati akisaini amepungua mwili.
Unafikiri Mpira wa miguu na basketball UPI ni difficult mazoezi yake!!??? Magic Johnson mbona alicheza!!??
 
Niwakati sasa FIFA kuweka bayana kuwa mchezaji yoyote Mwenye HIV harusiwi kucheza Moira ninaimani hakuna sheria hiyo katika soka
 
Haswaa....na mimi huwa sisemi tu hovyo mpaka mtu awe tayari kusikiliza,hii ni kwasababu naepuka kupoteza muda kwa mtu asiye msikivu.

Haswaa...tena nina logical reasons za kutosha tu to back up what I say...na tena kama utatenga muda wako kufuatilia kwa ukaribu suala hili,utagundua kwamba suala hili limejaa mikanganyiko mingi sana,na hii mikanganyiko ndio inayothibitisha kwamba HIV/AIDS ni uongo wa kutupa...yaani hakuna AIDS inayosababishwa na HIV hata kidogo.

Sasa nikipata muda nitaku quote kukuelezea sababu za kisayansi na kutoa uthibitisho halisi kwamba hakuna HIV/AIDS.Pia nitakupa uthibitisho kwamba ARVs ndizo zinazoua kwa wale wanaozitumia...propaganda missiles kama Magic Johnson hawatumii ARVs kama watu wanavyoaminishwa....sasa angekua ameshakufa au mwili wake ungeshadhoofika...

Logical reasons:
1.Watu wasiotumia ARVs wanaishi wakiwa na afya njema kwa miaka yote ya maisha yao(technical) hata kama wamepimwa HIV+(mifano hii ipo mingi tu mitaani),lakini wale wanaotumia ARVs wanaanza kuonesha dalili za matatizo baada ya muda fulani kutegemea na lifestyle ya mtu.

2.Wanaotumia ARVs hufa kwa matatizo ya ini,figo,moyo/presha,anaemia,kisukari na cancer...hakuna ugonjwa specific unaosababishwa na HIV.Halafu utakuja kujua kwamba hata huyo HIV anayepigiwa kampeni hayupo,ni HIV wa vipimo tu.Refer kwamba suala hili la ku fake ugonjwa kwa kutumia vipimo si geni...fuatilia kuhusu Dr Eugene Lazowski alivyotumia fani yake ya udaktari ku fake ugonjwa ili kuwaokoa Jews kipindi cha vita ya pili ya Dunia.

Kuna sababu nyingi sana ila kwa leo nimetingwa...nitaendelea kukuthibitishia taratibu tena kwa kukupa evidence...ukisoma haya vizuri na kufuatilia kwa ukaribu utagundua kwamba HIV/AIDS is just a MINDSET disease...yaani HIV/AIDS ni kama DINI tu....watu hawajui kama kuamini HIV/AIDS ni sawa na mtu mwenye hallucinations...

Nitarudi baadaye...

Subiri Mpaka Ukunase wewe Ndiyo Utajua Kama Upo Au Haupo.
 
Mtu yeyote yule. Unajuaje huyu anatumia ARV na huyu hatumii?

Ni kwasababu naishi nao....na wengine nimeshawaachisha ARVs pia wapo ambao wanaendelea na utaratibu wa kuacha na pia wapo ambao hawajaanza utaratibu ila wapo kwenye ushauri wa kuacha.

Kama huishi naye utajuaje kama anatumia au hatumii? Let's see..
Nimesema kwamba haina haja ya kuthibitisha hili la Magic Johnson,hii ni kwasababu nitakapothibitisha kwamba HIV/AIDS ni uongo ina maana moja kwa moja hata hili la Magic Johnson litakuwa limekwisha automatically...nadhani umeshapata mantiki hapo.Najua wewe ni mtu wa logic,lazima utakuwa umeelewa,hutoniangusha.
Ni kweli,lets see kama ulivyosema...nipe nafasi nianze kuthibitisha hilo kuliko kuniuliza maswali mengi ambayo nitatumia muda mwingi kuyajibu huku tukiacha mada ya msingi ambayo inanikabili,ambayo ni kuthibitisha kwamba HIV/AIDS ni uongo.Jana nilisema nimetingwa,ndio maana sikuanza kuthibitisha,lakini inaonekana hukuyaona maneno yale,umeya bypass.

Nimeuliza, mtu asiye na HIV akipewa lita na lita za damu ya mtu anayepimwa na kusemwa ana H.I.V kwa vipimo, full blown, huyo asiye na H.I.V hatapata hicho kinachoitwa H.I.V ?
Ni kweli,kama mtu atapewa lita za damu ya mtu aliyepimwa HIV+ hata kama yeye mwanzo hakupimwa HIV+,mtu huyo ana uwezekano wa kupimwa HIV+ kwa kuwa hapo watakuwa wanapima damu ya mtu mwingine na si yake tena..he hee...fahamu kwamba wastani wa kiwango cha damu yote mwilini ni lita 5 tu...sasa kama utampa mtu lita za damu ya mtu mwingine,maana yake utakapompima kuna uwezekano mkubwa ukapima damu ya huyo mwingine na si huyu aliyehamishiwa.

NB:
Nimejibu maswali ya msingi tu ili nipate nafasi uliyonipa ya kuthibitisha nilichokisema.Naomba nianze kuthibitisha kwenye reply inayofuata.Nitakapoanza kuthibitisha ndipo unaweza kuniuliza maswali mengine huko.Haya mambo yote tulijadili kuhusu Magic Johnson,kupimwa HIV+ nk...yote hayana maana kama hakuna kirusi chenye uwezo wa kushusha kinga ya mtu duniani....kuna mbinu nyingi za kuwadanga watu....ukiachilia mbali Magici Johnson,kuna prop missiles pia wanaotumika kuimarisha uongo huu kwenye vichwa vya watu ambao kweli wanatumia ARVs na wamepimwa HIV+...sasa haya yote utagundua kwamba ni nonsense tu pale utakapojua ukweli kwamba hakuna HIV/AIDS.Sasa fuatilia reply yangu inayofuata.
 
Atavuta mpunga mrefu kwa hao waliovunja mkataba
 
Mimi nina open mind. Nilishasikia hizo habari za wapinga HIV. Pamoja na za wanaopinga kwamba US hawajawahi kufika mwezini, pamoja na za wanaosema dunia ni bapa, pamoja na za wanaosema Tupac yupo hai bado.

Nikazipuuzia zote kama "conspiracy theory".

Sasa leo Napata mtu anayetaka kunielewesha, kwa kutumia logical reasoning, kwamba H.I.V haipo.

Hili ni somo kubwa sana ambalo silijui kwa uhakika. Huyu mtu anaweza kunifundisha kitu kipya.

Ngoja nimsikilize. Nitoe habari zangu zote ninazozijua kuhusu H.I.V kichwani ili niweze kuutafuta ukweli.

Ndiyo maana nikakwambia nipo neutral. Nakupa nafasi kujenga case kwamba H.I.V is fake bila ya prejudice yoyote kutoka kwangu. Ushaelewa?

Sasa tuanze somo letu...najua umeshawahi kupitia hizi unazosema ni conspiracy lakini labda hukupata wasaa wa kufanya uchunguzi wa karibu..unajua wengi huwa wanapenda kusoma mambo mbalimbali tena mengine ni nyeti lakini wanayaacha tu uchi,hawafuatilii kwa undani...na si kosa lao,inaweza kuwa hawakupata muda wa kutosha kufuatilia.

Jambo unalolisoma linakuwa na maana zaidi pale unapolielewa na kuweza kulitumia katika maisha...vinginevyo tutakuwa tunasoma kujaza database ya ubongo elimu isiyokuwa na tija.Sasa elimu hii kwangu imekuwa na tija kwani mpaka sasa nimeshaokoa wengi sana kwa kufanya kwa vitendo(sio hisia au nadharia tu).Nina evidence za watu niliowaachisha ARVs,watu ambao niliwashauri wasile kabisa ARVs pamoja na kupimwa HIV+ na vipimo hivyo feki.Wote hawa wako vizuri kiafya kwa muda mrefu sasa.

Kama nilivyosema,kuna nyanja kuu 4 unazotakiwa kuzijua ili uweze kutambua uongo huu.Nitaanza kujadili nyanja 3 kati ya hizo na hiyo ya nne itamalizia kama kuna uhitaji.Nyanja zenyewe ni kama zifuatazo:

1.Historia ya uongo huu wa HIV/AIDS
2.HIV mwenyewe,yaani nadharia yake
3.Vipimo vinavyoitwa vya HIV
4.madawa ya ARVs ambayo hutumika kuwapa watu wanaosadikika kuwa na huyo HIV

Sasa nitajadili kuanzia mada ya 2 hadi ya 4.

Fahamu kwamba,pande zote mbili,yaani wanaounga mkono nadharia ya HIV/AIDS na wale wanaopinga,ZOTE MBILI,zina vitu wanavyoviita scientific facts/proof/evidence ambazo zimewekwa kwenye maandishi na kuwa published.Kila upande una theory zake unazoziamini.

Lakini ili ujue upande gani uko sahihi,hupaswi kujikita kwenye theory zao na mihemko inayotokana na kampeni zao au maneno matamu ya ushawishi unayoyasikia kutoa kwao,bali unatakiwa kuingia field huko mitaani na kwenye vituo vya afya kufanya udadisi huku ukilinganisha kile ulichokisoma kutoka pande zote mbili na kile unachokiona kwa macho yako mwenyewe.Bila kufanya hivyo unaweza kuishia kujadili mada hii kwa kujifurahisha tu kwenye mitandao na huko mitaani,mada hii haitakuwa na maana tena kama hutafanya uchunguzi wako binafsi huko kwenye field.

Nyanja ya kwanza,1:
Nadharia kwamba kuna kirusi kinachosababisha upungufu wa kinga mwilini,kinaambukizwa kwa njia ngono au mchanganyiko wa damu nk na hakuna dawa ya kukiua.

Hiyo ndio nadharia kutoka kwa mainstream doctors,yaani wale wanaounga mkono suala hili.Halafu inabidi ufahamu pia kwamba,wamekuja na nadharia nyingine kwamba unaweza kupata HIV lakini ukaja kuugua baada ya miaka 10 au zaidi.

Madaktari wanaopinga wanasema kwamba,HIV ni jina tu,yaani jina alilopewa kirusi aina ya retrovirus(hata mainstream doctors wanakubali hili) ili aonekane kwamba ana sifa ya kusababisha AIDS,lakini ukweli ni kwamba hakuna retrovirus yeyote duniani mwenye uwezo wa kusababisha ukimwi,hakuna.Pia wapingaji wanasema kwamba retrovirus wote wanapoingia mwilini/damuni hata kama watasababisha tatizo(si tatizo la ukimwi) watafanya hivyo ndani ya kipindi kisichozidi mwezi mmoja.Na hii sio coincidence,bali inatokana na function of their multiplication...yaani hakuna kubahatisha..ndani ya mwezi mmoja tayari retrovirus wataonesha athari kama vile mafua nk...haizidi mwezi...haya maneno yalisemwa na kuthibitishwa na Prof Peter Duesberg ambaye amefanya kazi ya uchunguzi wa retrovirus kwa zaidi ya miaka 20.Pia hata Prof Luc Montagnier ambaye ndiye anachukuliwa kama mgunduzi wa huyo HIV(kwa jina) anakubali na anajua kwamba huyo HIV anasababisha madhara ndani ya mwezi mmoja na si zaidi ya hapo.
Sasa fact hii inakubalika pande zote mbili lakini inaonekana haipewi attention kutokana na interest za kibiashara tu.Hata watu utakapowaambia kuhusu hili they don't care pengine kutokana na ushabiki au ujinga tu..Kama utahitaji kuwasikiliza hawa maprofesa kutoka pande zote mbili wanasema maneno hayo hayo nitakupa video zao.Hii ni fact inayokubalika sehemu zote mbili...lakini ukija kwa ma doctor wa huku mitaani ukiwauliza watapinga kabisa fact hii,sasa jiulize wao wanapata facts zao wapi?

Sasa fact hiyo hapo juu itumie kulinganisha na kile kinachotokea mitaani au kwenye vituo vya afya.Utagundua/utaona kwamba,wapo watu wengi sana,infact karibu watu wote wenye afya zao wanapopimwa HIV+ bado wanaonekana kuwa wenye afya kwa zaidi ya miaka 10,20,30 kutegemea na jinsi walivyobahatika kuepuka death risks na hawaonekani kudhoofu na hawatumii ARVs...watu hao wapo wengi sana sio wakutafuta.Ndio maana mainstream wamekuja na nadharia yao ya CARRIER ili kurubuni akili za watu zikubali huu mkanganyiko...lakini kibaya zaidi kwao,wanasema hao carriers wako wachache sana....sasa ukweli ni kwamba ukianza kufuatilia mwenyewe utagundua kwamba karibu kila mtu anayepimwa HIV+ halafu hatumii ARVs na ana afya njema,ataendelea kuwa na afya kwa zaidi ya huo mwezi mmoja na hatougua..

Sasa hili linapingana na fact kwamba HIV husababisha tatizo ndani ya mwezi mmoja...zaidi ya hapo maana yake huyo si HIV.Yaani kimantiki ni kwamba,huyo retrovirus aliyepewa hilo jina la HIV hana sifa hiyo ya kusababisha AIDS.

Haya ndio tunayoyaona mitaani na kwenye vituo vya afya,kama hufanyi uchunguzi wako mwenyewe unaweza kuishia kwenye kuamini theories tu.Sasa kwa kuanzia naomba tuanze kujadili hii njyanja ya kwanza kisha twende inayofuata.Kama utahitaji evidence fulani sema nitakupatia.Lakini kama nilivyosema mwanzo,evidnce itakayokusaidia moja kwa moja ni ile utakayoiona kwa macho yako mwenyewe lakini baada ya kupata uelewa wa hizi scientific theories ili uweze kulinganisha vizuri.

Mfano halisi ni huyo mchezaji kwenye uzi huu.Mchezaji huyo anaonekana kucheza kwa muda mrefu na anaonekana mwenye afya...lakini wao wamekuja kumpima baadaye sana na kusema kwamba ana HIV..sasa kama HIV hasababishi tatizo ndani ya mwezi mmoja,Je,HIV huyo atakuwa ametoka sayari gani?Maana hapa duniani retrovirus wote akiwemo huyo aliyepewa jina la HIV husababisha tatizo ndani ya mwezi tu.Sasa angalia huyo mchezaji alivyo na afya.
Hatutegemei huko kwenye timu yake apate kituo cha kwenda kuchukua ARVs....
 
Sasa wale watu wote wanaokuwa na dalili zote zile zinazoitwa za UKIMWI na kufa kwa kilo mbili kwa nini mifumo yao wa kinga mwilini inadhoofika hivyo?
 
Unyanyapaa wa Waarabu huo.

Magic Johnson kapiga kikapu miaka kadhaa huku ana HIV, na mpaka leo anadunda. Huku watu ambao hawakuwa na HIV wanakufa kila siku.

Kwa upande mwingine HIV/AIDS is real people.

Kiranga Magic Johnson alivyo tangaza kuathirika Na ukimwi timu Na wachezaji wengi hawakutaka kucheza naye.Ilichukua muda kumkubali.
 
Lakini hakufukuzwa kama mbwa, timu yake haikumkataa, na aliachwa mwenyewe atangaze, hakutangazwa kama huyu.
 
Back
Top Bottom