lil wayne
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 992
- 904
Swali la kujiuliza hiyo club iliingiaje mkataba na mchezaji kabla ya vipimo?
Africa is Africa!!
Kwa hivyo baada ya kuingia mkataba na klabu kungemkinga na kumzuia dhidi ya Ukimwi.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali la kujiuliza hiyo club iliingiaje mkataba na mchezaji kabla ya vipimo?
Africa is Africa!!
Unyanyapaa wa Waarabu huo.
Magic Johnson kapiga kikapu miaka kadhaa huku ana HIV, na mpaka leo anadunda. Huku watu ambao hawakuwa na HIV wanakufa kila siku.
Kwa upande mwingine HIV/AIDS is real people.
magic johnson nba players walimgomea anaweza waambukixa. na nba walimkataa baada ya kuwa confirmed ni hiv positive.... hakuendelea kucheza b ball. ila mpaka leo ans afya tele
Hakuna mahali habari imesema ana ukimwi.Kwani huo ukimwi unahusiana vipi na soka?
Hivi bongo wachezaji wanapimwa ngoma?
Hivi bongo wachezaji wanapimwa ngoma?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wameshindwa Kuwapima Wavutaji Bange, Waje Wawapime Ngoma!!!
Umeona Wapi Mchezaji Half-Time Kujivuta Chemba Na Kuvuta Bange!!!
Only in Tanzania!!!
Kweli wewe umecheza Mpira km mm,hapo kosa ni kumtangaza hadharani kuwa ana tatizo,ila asingeweza kucheza hasa kwa ufanisiwakuu on Top Of that club yake hiyo mpya imempa sapoti sana ikiwa pamoja na malipo.
Pia Eleweni wachezaji huwa wanaishi kwa kushare vitu sana ndo maana unakuta hata maji wanapokezana kunyonya kwenye Chupa
Samuel Nlendi hatari inayoweza kutokea ni Kugogana na wachezaji wenzake wakati wa mazoezi au match na Kupasuka obvious hawawezi kukwepa kuambukizwa ugonjwa huu usikua na Tiba
Dressing room/ Team hapa jamaa atakua anashusha morali hata ya timu wachezaji wanaingiwa na woga hata kumkaba mazoezini kuna ka huruma fulani hivi wakati timu mazoezini wanacheza kwa nguvu/hard ili kujiandaa na Mechi za mashindano.
Pia mpira si lelemama any hidden weakness will be exposed hasa kwa club kubwa kama za misri huko acha hapa bongo mchezaji anaweza akachezea jina huku mazoezini anategea so kwa kumuonea huruma na incident zote hizo ni vema wakatishe mkataba.
Wachezaji katika timu huwa ni kama Mwili mmoja wanashare vitu vingi ikiwa pamoja na kufanya mazoezi ambayo wanatokwa na damu au wanapasuana wengine huchezewa rafu hadi wanavunjika miguu mazoezini.
Ingekua mcheza draft au Pool table ningesema wamuache.
Unyanyapaa wa Waarabu huo.
Magic Johnson kapiga kikapu miaka kadhaa huku ana HIV, na mpaka leo anadunda. Huku watu ambao hawakuwa na HIV wanakufa kila siku.
Kwa upande mwingine HIV/AIDS is real people.
Moja kati ya habari zinazo-trend kwa siku ya leo August 29 2016 katika soka ni hii ya klabu Al Ittihad Alexandria ya Misri kutangaza kuvunja mkataba na nyota wa kimataifa wa Cameroon Samuel Nlend kutokana na kugundua kuwa nyota huyo ana HIV.
Al Ittihad Alexandria imevunja mkataba na Samuel Nlend mwenye umri wa miaka 21 kutokana na kupimwa kwa nyota huyo na kugundulika kuwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi, maamuzi hayo yamekuja ikiwa ni siku nne zimepita toka nyota huyo asaini mkataba wa miaka mitatu wa kuichezea klabu hiyo.
![]()
Samuel August 24 2016 alisaini mkataba wa miaka mitatu wa kuichezea klabu ya Al Ittihad Alexandria, Samuel amewahi kuichezea timu ya taifa ya Cameroon mechi tano, hata hivyo hakuna sheria yoyote itakayomzuia staa huyo kupata kibali cha kucheza soka katika nyingine licha ya kugundulika kuwa na virusi vya ukimwi.
Hakufuzu vipimo ni jibu tosha kabisa hayo mengine ni uvunjifu wa privacy rights!!!Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu (privacy violated), ingetosha sana kusema hakufuzu vipimo. Hawa waarabu ni wa ovyo sana.
Thibitisha. Usiseme tu.Magic Johnson is HIV/AIDS propaganda missile.Hakuna ugonjwa huo duniani...huyo mchezaji naye ametumika kama scapegoat tu ili kuzindua akili za watu ambazo zimeshadharau ujinga unaoitwa HIV/AIDS....kuna watu wengi wanaotumika kuzindua akili za watu ili wawe attentive kufikiria tena HIV/AIDS iliyosahaulika kwao...wameifanya hii habari isambae ili warudishe watu waliodharau ushenzi huu kwenye mstari.
Wewe huwa unatumia logic sana unapojadili suala la uwepo wa mungu....hebu tumia logic hizohizo kudadavua kwamba HIV/AIDS ni uongo uliopindukia,ukitaka evidence nitakupatia.Watu wamefunga akili zao kufikiri kwenye hili,lakini akili ziko active kufikiri mambo mengine wayapendayo.
Thibitisha. Usiseme tu.
Hizi habari nimezisikia. Hata Thabo Mbeki kashawahi kusema.
Kama unapenda kutumia logic, utajua kwamba, wanaotumia logic huwa hawasemi kitu tu.
Wanaposema kitu wanatoa logical reasons.
Wewe logical reasons za kusema HIV/AIDS haipo ni zipi?