Klabu ipi maarufu zaidi Afrika ligi ya England?

Klabu ipi maarufu zaidi Afrika ligi ya England?

Mr nachojua Man utd ndo klabu yenye washabiki wengi duniani, hiyo afrika yenu nafikiri Tp mazembe inaongoza
 
KWA UPANDE WA FACEBOOK IPO HIVI

1)Manchestar Unuted-65,828,991

2)Arsenal-33,237,161

3)Liverpool-25,921,299

4)Manchester City-19,400,902

5)Chelsea-6,880,044
 
Mashabiki wa arsenal duniani ukizidisha mara 2 ndo unapata idadi ya mashabiki wa man utd
 
Kuna timu ya England inayoweza kuisogelea manutd kweli Kwa mashabiki??? Hata man utd ikishuka daraja hamuwezi kuikuta
 
Labda Madrid na Barcelona ndo wanatukaribia
 
Angalia na muda ulioanzishwa

Mashabiki wa Arsenal wengi wao kama sio wote ni ma-genius haswa ndio maana walibuni kitu kama hicho.
Vilaza wengine wamefuata upepo tu...teh teh
 
KWA UPANDE WA FACEBOOK IPO HIVI

1)Manchestar Unuted-65,828,991

2)Arsenal-33,237,161

3)Liverpool-25,921,299

4)Manchester City-19,400,902

5)Chelsea-6,880,044

Hao mashabiki wa Africa au?
 
Amini usiamini ndio imeshakua hivyo...
#ArsenalTheGunners ndio inaongoza kwa mashabiki na kufuatiliwa sana habari zake ulimwenguni.

Kuongelewa sana ni tofauti na kuwa na mashabiki wengi.
Manchester Unuted dunia nzima ina mashabiki zaidi ya 500M.
 
Kuongelewa sana ni tofauti na kuwa na mashabiki wengi.
Manchester Unuted dunia nzima ina mashabiki zaidi ya 500M.

Arrgg kikubwa makombe tu bwana, mashabiki hata 'shilole' anao.
 
Mtoa mada ameulizia kwa Africa ww unaongelea threads za timu Jf hapa Jf ndo Africa yote????jibu la Uzi ni Liverpool mabingwa wa kihistoria champions league ndani ya UK mara 5.
 
Back
Top Bottom