Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama kwa club zote humu JF kuna uzi unaaoongoza kama wa Arsenal...
Sidhani kama kwa club zote humu JF kuna uzi unaaoongoza kama wa Arsenal...
Angalia na muda ulioanzishwa
Na hakuna wa kuivunja sasa!
Azam kaivunja mara 2
KWA UPANDE WA FACEBOOK IPO HIVI
1)Manchestar Unuted-65,828,991
2)Arsenal-33,237,161
3)Liverpool-25,921,299
4)Manchester City-19,400,902
5)Chelsea-6,880,044
Hao mashabiki wa Africa au?
Amini usiamini ndio imeshakua hivyo...
#ArsenalTheGunners ndio inaongoza kwa mashabiki na kufuatiliwa sana habari zake ulimwenguni.
Kuongelewa sana ni tofauti na kuwa na mashabiki wengi.
Manchester Unuted dunia nzima ina mashabiki zaidi ya 500M.
Amini usiamini ndio imeshakua hivyo...
#ArsenalTheGunners ndio inaongoza kwa mashabiki na kufuatiliwa sana habari zake ulimwenguni.
mkuu nifah mwambie aangalie threads za hizo teams humu jamvini aone ni ipi ina post nyingi.
Hao mashabiki wa Africa au?
Arrgg kikubwa makombe tu bwana, mashabiki hata 'shilole' anao.