Klabu kubwa 40 afrika hadi leo tarehe 25/08

Klabu kubwa 40 afrika hadi leo tarehe 25/08

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
kama team yako haiko kwenye list kuwa na heshima na adabu halafu kaa kimya heshimu wakubwa zako

top 40.png
 
kama team yako haiko kwenye list kuwa na heshima na adabu halafu kaa kimya heshimu wakubwa zako

View attachment 1907742
Hivi ile timu iliyomtambulisha mnafiki majuzi ipo wapi? Yaani viongozi wa ile timu sijuwi wana akili gani, eti wanafikiri kumpa ajira ya kubwabwaja kale kajamaa ndipo timu yao itachukua ubingwa na kuwapiku wazee wa nchi?
 
Back
Top Bottom