Kuna clabu kubwa na club kongweKlabu ya Jskabylie ya nchini Algelia imekamilisha uwanja wake wenye uwezo wa kuheba watazamaji 50,766 ujenzi uwo umechukua takribani miaka 10.View attachment 2580601View attachment 2580602View attachment 2580603View attachment 2580605View attachment 2580606View attachment 2580608
Lafiki yangu enderea sasa tuerewane vizuliLa msingi umeelewa
Ugomvi au ujinga tu?Algelia? kweli watanzania tuna ugomvi mzito sana na hizi herufi L na R [emoji28][emoji28][emoji28]
Kubali kukosolewaLa msingi umeelewa
Una umri gani?Mimi naona timu kumiliki kiwanja sio big deal wanaweza tumia viwanja vya umma cha msingi kuwe na training facilities za kisasa na academies
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hizi Akili kamasi. Kamasi hasa.Mimi naona timu kumiliki kiwanja sio big deal wanaweza tumia viwanja vya umma cha msingi kuwe na training facilities za kisasa na academies
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa... Halafu hata kwa sasahivi bado wanapata tu hela nzuri kwa kutumia uwanja wa Taifa, kwahiyo sioni hiyo umuhimu wa kuwa na uwanja kwa sasa.Wachambuzi wameharibu watu, kiasi wanadhani uwanja wa mazoezi ni muhimu kuliko facilities za timu........
GYm, hostels, academies ni vya muhimu kuliko uwanja ambao kwa msimu mzima mechi utazochezea hapo hazizidi 30.
Kama huna pambania hivyo kwanza, uwanja utakuja baadae.
Kibongo bongo Project ya uwanja ina hasara kuliko faida.
Kwa Simba uwanja wa kutosha ni 50k seats.Ni kweli kabisa... Halafu hata kwa sasahivi bado wanapata tu hela nzuri kwa kutumia uwanja wa Taifa, kwahiyo sioni hiyo umuhimu wa kuwa na uwanja kwa sasa.
Idea yako ya supporting facilities ndo ya umuhimu sana
etc
- Hostel nzuri
- Gym
- Diet
- Health facilities
- Academy