Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imekamilisha ujenzi wa uwanja wake

Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imekamilisha ujenzi wa uwanja wake

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Klabu ya Jskabylie ya nchini Algelia imekamilisha uwanja wake wenye uwezo wa kuheba watazamaji 50,766 ujenzi uwo umechukua takriban miaka 10.
FB_IMG_16809393229505892.jpg
FB_IMG_16809393181609894.jpg
FB_IMG_16809393126108774.jpg
FB_IMG_16809393016839333.jpg
FB_IMG_16809392951945556.jpg
FB_IMG_16809392867896746.jpg
 
Wachambuzi wameharibu watu, kiasi wanadhani uwanja wa mechi ni muhimu kuliko facilities za timu........
GYm, hostels, academies ni vya muhimu kuliko uwanja ambao kwa msimu mzima mechi utazochezea hapo hazizidi 30.
Kama huna pambania hivyo kwanza, uwanja utakuja baadae.
Kibongo bongo Project ya uwanja ina hasara kuliko faida.
 
Wachambuzi wameharibu watu, kiasi wanadhani uwanja wa mazoezi ni muhimu kuliko facilities za timu........
GYm, hostels, academies ni vya muhimu kuliko uwanja ambao kwa msimu mzima mechi utazochezea hapo hazizidi 30.
Kama huna pambania hivyo kwanza, uwanja utakuja baadae.
Kibongo bongo Project ya uwanja ina hasara kuliko faida.
Ni kweli kabisa... Halafu hata kwa sasahivi bado wanapata tu hela nzuri kwa kutumia uwanja wa Taifa, kwahiyo sioni hiyo umuhimu wa kuwa na uwanja kwa sasa.

Idea yako ya supporting facilities ndo ya umuhimu sana
  • Hostel nzuri
  • Gym
  • Diet
  • Health facilities
  • Academy
etc
 
Kwa Simba uwanja wa kutosha ni 50k seats.
Hao watu 50k wanapatikana kwenye mechi zisizo fika 10 kwa msimu.
Siku zingine ni watu 5000 to 10k.

Ili hao watu wapatikane kiingilio ni 3k....

Haya hiyo project itacost Tsh ngapi? Kujenga uwanja wa watu 50k?
Je pesa iliyotumika itarudi baada ya mda gani?
Na usipowekeza kwenye uwanja unapata hasara gani?
Nadhani hivyo ni vitu vya kuzingatia kabla ya kuanza project yoyote ile.
Ila ukiwekeza kwenye miundombinu within 5 years matokeo umeshayaona.
 
Back
Top Bottom