Huijui le blancos wewe,zinaweza kufa timu zote Duniani ila siyo hiyo.Hao wanaopenda ni cha mtoto,hata angeondoka Perez bado Madrid itakuwepo.Hahaha Mtakufa Msimu uu *****!
- Kocha Kasepa
- Ronaldo Anaenda Juventus
- kasemilo Anasepa
Yanga na alosto yote lkn haiwezi kufa.Huijui le blancos wewe,zinaweza kufa timu zote Duniani ila siyo hiyo.Hao wanaopenda ni cha mtoto,hata angeondoka Perez bado Madrid itakuwepo.
Hakika,namuona Mbape akitua bernabeu.Madrid wanatakiwa kuziba pengo la ronaldo.. achilia mbali yeye kuondoka.
Asilimia kubwa ya first 11 ya real ni 29+age, mfano modric,ramos,marcelo,kroos,benzema.
Kuna usajili unakuja wa moto pale real, madrid huwa hawapendi kubak nyuma watafukia mabonde vzr tu. Tena ukizingatia wale player wametumika sana hvy wanahitaj kuvuta pumzi kidogo.
Hawa akina mbappe, hazard, pogba, eriksen watapewa dau.
Inawezekana , damu changa ile iko moto... akija na neymar raha sana.. kati wakaleta ngolo kante, mbele lewando mbona UEFA tunaficha tena.Hakika,namuona Mbape akitua bernabeu.
Vp hazard,neymar akija atatualibia timu bola haje mbape kumlisi CR7