Klabu ya Real Madrid inaenda Kufa? Ronaldo kutimkia Juventus

Klabu ya Real Madrid inaenda Kufa? Ronaldo kutimkia Juventus

Inawezekana , damu changa ile iko moto... akija na neymar raha sana.. kati wakaleta ngolo kante, mbele lewando mbona UEFA tunaficha tena.
ilikuwepo ya de lima,zizou,carlos nk lakini nonda shaban papii na wenzake wakatumbukiza tatu bila majibu
 
Ronaldo ndie anaelekea kufa nasio madrid.

Popote atakapokwenda akifikisha idadi ya magoli kama anayopata kufunga real nitafute.
Real ndio wanaomuacha Ronaldo sio Ronaldo anaiacha Real, Wamemgomea kumuuengezea mshahara anaotaka nawao ndio waliobadilisha kipengele cha mkataba wapate kumpiga bei.
 
Aliondoka
Morientes
Macmaniman
Zizu
De Lima
Casilas
Canavaro
Beckham
Bernabeu
Stephano
....
....
....

Bado TIMU HII YA MFALME/MALKIA imesimama, aondoke yeye Timu ife?

Acha kuwaza ki H. Polepole bwana!
Ongezea
Figo
Makerele
Raul
 
Madrid hawauzi super stars,,bali wana nunua super stars,,,,ukiona mchezaji anauzwa na madrid ujue matumizi yake yameisha,,,mfano ozil na dimaria
 
Hata asingeondoka kwa kuhama bado Madrid ingewalazimu kupata mbadala Ronaldo umri unamtupa mkono hivyo shusha Mbappe shusha Neymar
 
Ronaldo ndie anaelekea kufa nasio madrid.

Popote atakapokwenda akifikisha idadi ya magoli kama anayopata kufunga real nitafute.
Real ndio wanaomuacha Ronaldo sio Ronaldo anaiacha Real, Wamemgomea kumuuengezea mshahara anaotaka nawao ndio waliobadilisha kipengele cha mkataba wapate kumpiga bei.
Mkuu Madrid kacheza karibia miaka kumi now ana 33 kweli unatevemea akacheze miaka mingap popote aendapo afikie magoli ya madrid, muache aende king wetu wa madrid amefanya makubwa kwa timu
 
Dogo hebu kafanye mazoezi yakuandika kwanza.

Matakwa anayoyataka Christiano na umri wake ni kitu ambacho hakiwezekani kutekelezwa.
Sisi ndo tunadhani anataka makubwa lakini sivyo maana hata akienda Turin bado atakuwa anakula 30 tofauti ya Messi na Neymar ambao bado wapo juu

Cr7 bado ni mchezaji mwenye sifa zake na ndio maana zile kampuni kubwa kama Adidas na Nike wamemwongezea mkataba mpya kwa kuwa bado anamauzo mtaani

Ronaldo mtu wa kutafuta rekodi na kubadili ligi lakini pia mafanikio yote anayostahili kuwa nayo mchezaji kayapata Madrid hana anachotafuta pale tena hivyo sio mbaya akihama na kwenda kutafuta mapya kwingine huku umri wake ukienda ukingoni

Tusimsingizie eti anataka makubwa sio kweli
 
Me sioni kama kuna shi kwa mchezaji aliyetwaa kila taji kuondoka kwa umri ule wa 33

Kwetu Barcelona aliondoka Ronaldinho akiwa 28+ hakuna aliyeamini
Pia Maestro Iniesta ameondoka kwa hiyo ni jambo la kawaida wala usitegemee Madrid kufa
 
Angekuwa King Messi hapo ingeyumba sana tim,, na ingechukua karne na karne kumpata mbadala wake....but cr7!!! Huyu huyu mmaliziaji/mwenye kutengewa na akina karim!!!! Sioni cha ajabu hapo..acha aondoke!
 
itayumba barcelona tu..ndo timu pekee duniani inayomtegemea mtu mmoja,asipokuwepo inafungwa saba na levante
 
Back
Top Bottom