Klabu ya Real Madrid inaenda Kufa? Ronaldo kutimkia Juventus

Klabu ya Real Madrid inaenda Kufa? Ronaldo kutimkia Juventus

Angekuwa King Messi hapo ingeyumba sana tim,, na ingechukua karne na karne kumpata mbadala wake....but cr7!!! Huyu huyu mmaliziaji/mwenye kutengewa na akina karim!!!! Sioni cha ajabu hapo..acha aondoke!
Takwimu zinaongea
FB_IMG_1531036351994.jpg
 
Angekuwa King Messi hapo ingeyumba sana tim,, na ingechukua karne na karne kumpata mbadala wake....but cr7!!! Huyu huyu mmaliziaji/mwenye kutengewa na akina karim!!!! Sioni cha ajabu hapo..acha aondoke!
Halaf mkuu Black Panther hakuna timu inaweza kufa kwa kuondoka mchezaji japo kuna wachezaji kupata mbadala wao ni ngumu sana Mf.Ronaldo hata huyo messi unaesema muda wake wa kustaafu na Barcelona itaendelea kuwa klabu kubwa duniani coz hata yeye aliikuta hivyo the same to Cr7
 
Mkuu GWELE acha nimpe haki yake huyu cr7 japo hawezi fanana na Messi hata kidogo,,na alichomzidi Messi ni ufungaji tu...mengine yote kafunikwa...cr7 ana mafanikio makubwa ukilinganisha na mastaa wote waliopita pale madrid. Zidane,De lima, Raul,luis figo,salgado,,hawa wote kimafanikio wamepigwa mbali sana.

  1. ALFREDO DE STEFANO
  2. CR7
  3. ZIDANE
  4. DE LIMA
  5. LUIS FIGO
Huyu Alfredo kwangu mimi ndiye wa kwanza ukilinganisha na hao niliowataja...

HONOURS
Honours as a player:
5 European Cups
1 Intercontinental Cups
2 Latin Cups
8 Ligas
1 Spanish Cup

Honours as a coach:
1 Spanish Super Cup
 
Ni wakati sahihi wa yeye kuondoka awape nafasi watu kama Neymar/Hazard/Mbape kung'aa na Real
 
Nawaza hivi messi na cr7 nani mwnye uwezo wakucheza mpira anavotaka
Mmoja anatumia mguu mmoja
Mwingine anapiga kotekote mpaka mgongon
 
Back
Top Bottom