inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
gaucho ilibidi wamtoe,alikua anamfundisha starehe messiMe sioni kama kuna shi kwa mchezaji aliyetwaa kila taji kuondoka kwa umri ule wa 33
Kwetu Barcelona aliondoka Ronaldinho akiwa 28+ hakuna aliyeamini
Pia Maestro Iniesta ameondoka kwa hiyo ni jambo la kawaida wala usitegemee Madrid kufa