inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
salah sahau..ila mbape,neymar,hazard hao wanawawezaMbape, Nemar na Mohammed Saleh...
Real Madrid inaweza kuwanunua wote hao.
In Sha Allah.
ilikuwepo ya de lima,zizou,carlos nk lakini nonda shaban papii na wenzake wakatumbukiza tatu bila majibuInawezekana , damu changa ile iko moto... akija na neymar raha sana.. kati wakaleta ngolo kante, mbele lewando mbona UEFA tunaficha tena.
OngezeaAliondoka
Morientes
Macmaniman
Zizu
De Lima
Casilas
Canavaro
Beckham
Bernabeu
Stephano
....
....
....
Bado TIMU HII YA MFALME/MALKIA imesimama, aondoke yeye Timu ife?
Acha kuwaza ki H. Polepole bwana!
Mkuu Madrid kacheza karibia miaka kumi now ana 33 kweli unatevemea akacheze miaka mingap popote aendapo afikie magoli ya madrid, muache aende king wetu wa madrid amefanya makubwa kwa timuRonaldo ndie anaelekea kufa nasio madrid.
Popote atakapokwenda akifikisha idadi ya magoli kama anayopata kufunga real nitafute.
Real ndio wanaomuacha Ronaldo sio Ronaldo anaiacha Real, Wamemgomea kumuuengezea mshahara anaotaka nawao ndio waliobadilisha kipengele cha mkataba wapate kumpiga bei.
Dogo hebu kafanye mazoezi yakuandika kwanza.neymar akija atatualibia timu bola haje mbape kumlisi CR7
Sisi ndo tunadhani anataka makubwa lakini sivyo maana hata akienda Turin bado atakuwa anakula 30 tofauti ya Messi na Neymar ambao bado wapo juuDogo hebu kafanye mazoezi yakuandika kwanza.
Matakwa anayoyataka Christiano na umri wake ni kitu ambacho hakiwezekani kutekelezwa.
Huyu yuko vizuri, Neymar nkogo nyingi sana.Vp hazard,
wamuuze tu..wakawachukue Kane,Hazard,Neymar,Pogba,Mbape
wote hawa hela watatoa wapi!!?wamuuze tu..wakawachukue Kane,Hazard,Neymar,Pogba,Mbape
itayumba barcelona tu..ndo timu pekee duniani inayomtegemea mtu mmoja,asipokuwepo inafungwa saba na levanteAngekuwa King Messi hapo ingeyumba sana tim,, na ingechukua karne na karne kumpata mbadala wake....but cr7!!! Huyu huyu mmaliziaji/mwenye kutengewa na akina karim!!!! Sioni cha ajabu hapo..acha aondoke!