Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Oya kweli tunefungiwa?Kikubwa tumeshafuzu....ila CAF bwanaa wamesubira weeee hawakutaka kutupa stress..
ViziwandaKikubwa tumeshafuzu....ila CAF bwanaa wamesubira weeee hawakutaka kutupa stress..
Itakua kweli...naona sherehe yetu ya jumapili imeshasitishwa sasaOya kweli tunefungiwa?
Dah hasara hiyo aiseee.
Sawa tutapambana tu sio mbaya.Itakua kweli...naona sherehe yetu ya jumapili imeshasitishwa sasa
Tushazoea kucheza bila mashabiki....Sawa tutapambana tu sio mbaya.
Kwaiyo yanga kulipa mamilioni kunahusianaje na ujinga wenu wa kuvunja viti? Yanga ndio waliwaambia mvunje viti?Hii ni habari njema kwa utopolo..ndo maana wamelipa mamilioni yao chap waliyokua wanadaiwa ya usajili ili waje wacheke...nasikia wamelipa jana...labda walishajua kuna adhabu ya mnyama inakuja... 😆
Ni mashabiki wa mwiko nyuma ndo walivunnja....unadhani pale walikuwepo simba peke yao..kina Mchome chura ndo walivunjaKwaiyo yanga kulipa mamilioni kunahusianaje na ujinga wenu wa kuvunja viti? Yanga ndio waliwaambia mvunje viti?
Safi sana, uhuni ni wa kukomesha kwenye michezo.Dah hasara hiyo aiseee.