Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

huenda kweli ziliwafikia ila hii ni habari ya Micky Junior pia hiyo sio official page ya CAF ni group tu kama magroup mengine ya kule Facebook ambalo hata wewe unaweza kuanzisha na kuliita kama linavyoonekana hapo kiufupi hiyo habari siyo ya CAF
 
Na bado..wataweka na hii ya michango ya ile adhabu yao
 
Hao sio CAF Mkuu! Hilo ni group la kawaida
Japo Kongole kwa Wanasimba!

Hongera sana Mh. Lissu

Na Test Mitambo
 
Mkiambiwa mpeleke watoto wenu shule mnaishia kulalamikia EMS. Sasa ona mleta mada hata hujui kilichoandikwa umejaza UTOPOLO kichwani mwako
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Mkiambiwa mpeleke watoto wenu shule mnaishia kulalamikia EMS. Sasa ona mleta mada hata hujui kilichoandikwa umejaza UTOPOLO kichwani mwako
Umepaniki sana. Hii hasira ni kwa vile hujala. The hungry man is angry always. Wewe kutokula siyo shida zangu.
 
Back
Top Bottom