Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

Nyie c kuna kipind viongozi wenu walikamatwa na ngada mpaka leo hii wapo wananyea debe kwahyo hela za ngada sizihitaji
Muuza ngada alikuwa Manji yule mfadhili mkuu wa Uto enzi zile...

Sijui yupo wapi kwa sasa muuza unga yule
 
Hii naona inaweza waudhi zaidi CAF next time watazuia mashabiki Uwanjani na watazuia hata kwenye TV wasiangalie. Maana ni kama wanasema "Hamjatukomoa" inaudhi sana. Hizi picha zimewafikia CAF na wameamua kuzifanyia kazi.

Screenshot_2025-01-21-22-11-50-601_com.whatsapp~2.jpg
 
Back
Top Bottom