Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’

Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’

Kwa hakika mpira wa Tanzania umekua sana. Kama kocha wa kariba hii anakubali kuja ni hatua kubwa.

Hapa achilia mbali ukubwa wa Simba. Ngoja tuone nae atatuletea nini. Walau anaufahamu mpira wa africa kwa kiasi kikubwa hasa huko kaskazini.

Viwango vya Simba ni next level.
 
Sasa 5-1 inamuhusu nini huyu kocha mpya?

Kocha mpya anatangazwa hutaki kuzungumzia cv yake unataka nini kizungumziwe kwa muktadha wa hii thread?
Sikuomba CV yake lakini, ungeweka bila kuquote kwangu wala nisingehangaika kukujibu.
 
Wewe soka la bongo unalijua vizuri? Hapo wanatulizwa mashabiki.
Hali ni tete hata kwenda uwanjani hawataki tena, ni move nzuri.
Kumbe upo mioyoni mwetu kiasi kwamba unajua kuwa hatutaki kwenda uwanjani? Siku ya mechi tukiwepo uwanjani utabadili kauli yako?
 
Bado 5-1 zinaishi vichwani mwenu, Kisa alitufunga finals?
Tena kwa kanuni pekee?

Huyu ndio mzuri, tukiwafunga tunaua ndege wawili kwa jiwe moja, karibu Tanzania Benchika,
Nyumbani kwa mabingwa wa kihistoria Young Africans.
Matokeo ya 5-1 yanahusu nini na kocha mpya? Haya nendeni na hayo matokeo bank mkakopee kama yanatumika kila sehemu.
 
Hizi ndio team alizopita kabla ya kuja Simba
Screenshot_20231124-210743.jpg
 
Sikuomba CV yake lakini, ungeweka bila kuquote kwangu wala nisingehangaika kukujibu.
Kwani wewe si ulisema aliwafunga Yanga kwa kanuni na ndiyo maana una imply kwamba siyo kocha bora?

Au sababu ya wewe kusema vile ilikuwa ni nini?

Ndo maana nikakukumbusha cv yake. Siyo tu eti ni kwasababu ya kuwafunga Yanga “kwa kanuni” ndo maana ameletwa Simba.

Dah! Kaazi kweli kweli.

Kwani wewe umeanza ushabiki wa mpira lini?
 
Huo muda wa kusubiri mtaupata wapi!! Na wakati wa dirisha la usajili viongozi wenu watasajili wachezaji wa bei nafuu, na wale wa mihemko wa airport!

Halafu mwishoni mwa msimu, kama ilivyo kawaida, mtamtengenezea zengwe na kumfukuza.
Ni kweli ila kupitia mechi ya kesho, viongozi watajifunza kitu
 
Back
Top Bottom