Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
- Thread starter
- #41
Ni kweli mkuu ligi imeongezeka uboraKwa hakika mpira wa Tanzania umekua sana. Kama kocha wa kariba hii anakubali kuja ni hatua kubwa.
Hapa achilia mbali ukubwa wa Simba. Ngoja tuone nae atatuletea nini. Walau anaufahamu mpira wa africa kwa kiasi kikubwa hasa huko kaskazini.
Viwango vya Simba ni next level.