Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’

Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’

Kocha ni lile lile la asec mimosas.. Jamaa anajua.

Huyu msimu uliopita game 2 za yanga na ile wanamfunga al ahly kwenye super cup soka lake si asili ya simba..
Sijui labda aje abadilike.
Je Tatizo la Simba ni kocha au wachezaji wazee ? hivi nahodha wa Simba unamfahamu ?
 
View attachment 2823626
---

Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kuwa mrithi wa kiti kilichoachwa wazi na Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’

Kabla ya kutua mitaa ya Msimbazi Kocha Benchikha ambaye ni raia wa Algeri aliiongoza USM Alger katika fainali za Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)msimu uliopita na kutwaa kombe mbele ya Yanga SC.

Enyi makolo na wa-TZ sio kila mtu mweupe ni kocha, wengine ni Mashahidi wa yehova.
 
Je Tatizo la Simba ni kocha au wachezaji wazee ? hivi nahodha wa Simba unamfahamu ?
Nyinyi msipende kutoa kashfa bila kuangalia data.

Mjaji mchezaji kulingana na performance yake na sio umri. Mchezaji unayemuita Mzee hajamfikia umri Messi, Ronaldo, Modric Benzema nk.

Umri sio kigezo cha kucheza vizuri na ndio maana tuna timu ya under 20 ambayo kila siku inabomolewa.
 
Sharti ni moja tu. Chama akishindwa ku cope mfumo wako, itakubidi wewe sasa ndio u cope mfumo wake.
Sawa sawa?
Hahaha .....sidhani kama ni kweli hili

Ila Kocha anatakiwa afanye timu iwe inacheza Soka safi na tuweze kufikia malengo yetu kufika Semi final ama Final ya Champions League
 
Mbinu za huyu kocha na Robati ni chanda na Pete, hao wachezaji wenu wasioweza kufanya mashambulizi ya kushtukiza mtamfukuza kabla ya Pasaka.
watamfukuza kabla hakujakucha. Wanataka matokeo ya harakaharaka kiujanjanja ujanja tu badla ya kujenda taasisi
 
Nyinyi msipende kutoa kashfa bila kuangalia data.

Mjaji mchezaji kulingana na performance yake na sio umri. Mchezaji unayemuita Mzee hajamfikia umri Messi, Ronaldo, Modric Benzema nk.

Umri sio kigezo cha kucheza vizuri na ndio maana tuna timu ya under 20 ambayo kila siku inabomolewa.
Mkuu hatulengi mchezaji mmoja , huyo tumemtumia kama sampo tu
 
Je mshahara wake ni kiasi gani kwa mwezi? Wazee wa za ndaaaaani mtufatilizie mshahara wake?

Asije akafungua kesi FIFA ya kudai mshahara wake!
 
Back
Top Bottom