Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’

Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’

Mbinu za huyu kocha na Robati ni chanda na Pete, hao wachezaji wenu wasioweza kufanya mashambulizi ya kushtukiza mtamfukuza kabla ya Pasaka.
Hao wenu wanaoweza kufanya mashambulizi ya kushtukiza wamekula 3 huko kwenye ligi ya wakubwa. Mnalitia nuksi Taifa.
 
yule hatumuwezi maana viongoz mpk washabiki neno subra hatuna yule anahitaj msimu miwil mpk mitatu je unauvumilivu huo?...

Apelekewa watu tu, hakuna subra ya kuwatengeneza watu. Apelekewe anawataka yeye aweke mifumo yake tubebe makombe.

Ile sio under 17.
 
Bonge la kocha!! Malengo ya kumleta kocha huyu ni kuifikisha Simba mahali ambapo haijawahi kufika. Lakini "wamekubaliana" kuwa kipimo cha kocha huyu hakitatokana na matokeo ya uwanjani kwa wachezaji waliopo sasa ambao yeye hajashiriki kuwasajili. Kipimo chake kitatokana na:
1. Kocha kupewa nafasi kwenye dirisha dogo na dirisha kubwa litakalofuata kusajili wachezaji anaowataka ambao anaamini wataifikisha Simba mahali ambapo haijawahi kufika! Ni programu ya misimu mitatu kuanzia huu uliopo.
2. Kucheza soka la ushindi na la kuvutia!!
 
1701142999696.png
 
Kocha mpya wa SIMBA alipofika Tanzania, aliweka Mikono kichwani akaanza Kulia na kusikitika kwamba Mpaka leo hii SIMBA haijawahi kushinda kombe la Club Bingwa Afrika. Usiku huo huo akaomba wachezaji waamshwe waende kwenye zoezi. Ikabidi watu waanze kumtuliza ili apunguze hasira
 
Ujio wa benchikha ndani ya bench LA ufundi kama kocha mkuu ni hasara kama alivyosajiliwa onana tu

Wait and see
 
Back
Top Bottom