Klabu ya Simba imepeleka ofa rasmi katika klabu ya KMC wakimuhitaji kiungo Awesu Awesu

Klabu ya Simba imepeleka ofa rasmi katika klabu ya KMC wakimuhitaji kiungo Awesu Awesu

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
... 🚨 π—–π—’π—‘π—™π—œπ—₯π— π—˜π——

Klabu ya Simba imepeleka ofa rasmi katika klabu ya KMC wakimuhitaji kiungo Awesu Awesu. Mazungumzo yameenda vizuri.

Simba SC wanataka waliwahi dirisha la usajili ambalo litafungwa leo usiku. Tayari klabu hizo mbili zimefikia hatua nzuri katika makubaliano yao kuhusu usajili huo.

ℹ️ Klabu ya Simba itamnunua Awesu kutoka KMC tofauti na awali ambapo mchezaji huyo aliingiza pesa kwenye account ya KMC Tsh 50 Million kuvunja mkataba wake kisha akatambulishwa Simba SC.

KMC walinukuliwa wakisema wanamuuza mchezaji huyo Tsh 200 Millioni.

Inshort ni de
1723738108727.jpg
al done β˜‘οΈ
 
Sasa kwann walitaka kufanya utapeli?

TFF mnasubiri nini kuwashtaki simba kwa kumrubuni mchezajiiiiii.

Kiuhalisia TFF wamekiri simba kufanya hili kosa ila wameishia kutoa onto kwa simba sasa swali ni je, kosa hili adhabu yake ni onyooo????
 
... 🚨 π—–π—’π—‘π—™π—œπ—₯π— π—˜π——

Klabu ya Simba imepeleka ofa rasmi katika klabu ya KMC wakimuhitaji kiungo Awesu Awesu. Mazungumzo yameenda vizuri....
unapambana hivi mchezaji anakuja kuwa Akpan aliyechangamka...ITAKUWA KABAMBE MJINI!!!
 
Hiyo muulize kiongozi wako aliyepeleka hela KMC. Kwani Manara anafanya nini pale? Lakini si yupo? Aliyeamua awepo anamlipa mshahara, wewe kazi yako ni kushangilia tu
Kwani Manara anacheza namba ngapi? Kwa mmemsajili baada ya kusikia hizo tetesi na ww umeziamini?
 
Sasa kwann walitaka kufanya utapeli?

TFF mnasubiri nini kuwashtaki simba kwa kumrubuni mchezajiiiiii.

Kiuhalisia TFF wamekiri simba kufanya hili kosa ila wameishia kutoa onto kwa simba sasa swali ni je, kosa hili adhabu yake ni onyooo????
Hujui kitu, hii taarifa hapa imeficha ukweli.
 
Walioanzisha tabia hii ni Azam na Faisal lakini wao wana bahati rais wa nchi akaingilia kati kuwasaidia. Hairuhusiwi timu moja kuongea na mchezaji ambaye bado ana mkataba na timu nyingine. Inabidi wachezaji na vilabu vijifunze kufuata taratibu. Wanatumia release clauses za mikataba kinyume na makusudio yake. Timu moja inampa mchezaji opesa kurudisha kwenye timu yake kulingana na figure iliyoandikwa kwenye release clause bila kufuata thamani ya mchezaji wakati huo.
 
Back
Top Bottom