Mributz
Senior Member
- Aug 29, 2022
- 177
- 527
... π¨ ππ’π‘πππ₯π ππ
Klabu ya Simba imepeleka ofa rasmi katika klabu ya KMC wakimuhitaji kiungo Awesu Awesu. Mazungumzo yameenda vizuri.
Simba SC wanataka waliwahi dirisha la usajili ambalo litafungwa leo usiku. Tayari klabu hizo mbili zimefikia hatua nzuri katika makubaliano yao kuhusu usajili huo.
βΉοΈ Klabu ya Simba itamnunua Awesu kutoka KMC tofauti na awali ambapo mchezaji huyo aliingiza pesa kwenye account ya KMC Tsh 50 Million kuvunja mkataba wake kisha akatambulishwa Simba SC.
KMC walinukuliwa wakisema wanamuuza mchezaji huyo Tsh 200 Millioni.
Inshort ni de
al done βοΈ