Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kingangwalla alikua na hoja tatizo aliitoa wakati ambao sio sahihi, alitoa hoja yake wakati ambao timu inafanya vzr na mashabiki wamezama kwenye mahaba mazito.Enzi hizo tuliojaribu kuhoji kuhusu hizo bilioni 20 za Mwekezaji, aisee tulishambuliwa kama mpira wa kona! Cha kushangaza eti leo hii wanaparuana wenyewe kwa wenyewe kuhusu jambo lile lile!
Muda haupokei rushwaKingangwalla alikua na hoja tatizo aliitoa wakati ambao sio sahihi, alitoa hoja yake wakati ambao timu inafanya vzr na mashabiki wamezama kwenye mahaba mazito.
Ndo Mhindi aje atoe ufafanuzi awe cleared. Ile siyo cheki bossWaliokuwa kwenye ile picha ya check ni akina nani.?
Anawatisha kama kawaida yake
Nilichogundua WENGI WETU UPSTAIRS NI EMPTY.Kingangwalla alikua na hoja tatizo aliitoa wakati ambao sio sahihi, alitoa hoja yake wakati ambao timu inafanya vzr na mashabiki wamezama kwenye mahaba mazito.
Waliokuwa kwenye ile picha ya check ni akina nani.?
Haina jina la Benki.. Haina Ac number
Waliokuwa kwenye ile picha ya check ni akina nani.?
Kama Simba inakanusha hadharani kuwa hajanunua, yeye alitakiwa afanye nini kama si kuja kuthibitishaMO alishasema kuwa alinunua timu unataka aseme nini kingine?
Fuateni katiba ya Simba siyo kufuata mikameraTuokoe Muda wakuu. Wajumbe wa Simba upande wa wanachama katika Bodi wameshakana klabu kupokea 20B kutoka kwa anayedaiwa ni mwekezaji aliyenunua 20B.
Ikumbukwe hawa wajumbe ndo wawakilishi wa klabu katika bodi ikisemekana wanamiliki ile 51%
Kwa lugha nyepesi ninkuwa Simba imeshamkana Mo Dewji na kampuni yake ya Mo Simba Company Ltd. Hata ile picha ya Cheki aliyopiga Mo akiwakabidhi maana yake ni ulaghai.
Sasa kwa tuhuma hizi , suala la Uoande wa Mo chini ya Mr Try Again kuendelea kukaa kimya, maana yake kuna ulaghai kweli na hapa wanajipanga gia au namna ya kuoangua hili sakata. Inafikirisha sana🤔🤔
Tunamtaka Mo ajitokeze hadharani na kutoa maelezo ya tuhuma hizi
Inasemaje mkuuFuateni katiba ya Simba siyo kufuata mikamera