Klabu ya Simba imeshakana kupokea 20B za Mo. Yeye kuendelea kukaa kimya ni kudhihirisha ulaghai wake

Klabu ya Simba imeshakana kupokea 20B za Mo. Yeye kuendelea kukaa kimya ni kudhihirisha ulaghai wake

Tuokoe Muda wakuu. Wajumbe wa Simba upande wa wanachama katika Bodi wameshakana klabu kupokea 20B kutoka kwa anayedaiwa ni mwekezaji aliyenunua 20B.

Ikumbukwe hawa wajumbe ndo wawakilishi wa klabu katika bodi ikisemekana wanamiliki ile 51%

Kwa lugha nyepesi ninkuwa Simba imeshamkana Mo Dewji na kampuni yake ya Mo Simba Company Ltd. Hata ile picha ya Cheki aliyopiga Mo akiwakabidhi maana yake ni ulaghai.

Sasa kwa tuhuma hizi , suala la Uoande wa Mo chini ya Mr Try Again kuendelea kukaa kimya, maana yake kuna ulaghai kweli na hapa wanajipanga gia au namna ya kuoangua hili sakata. Inafikirisha sana🤔🤔

Tunamtaka Mo ajitokeze hadharani na kutoa maelezo ya tuhuma hizi
 
Back
Top Bottom