Karibu kiumeni Mussa,Klabu ya Simba leo hii Juni 15, 2022 imetangaza kumsajili Mshambuliaji hatari Moses Phiri raia wa Zambia.
Hivi kwano Dirisha La Usajiri Limefunguliwa??Karibu kwenye Timu ya mpira.. Karibu Unyamani Moses Phiri..!View attachment 2262073
Tupeni wasifu wake kwanza.
Ni mchezaji mwenye kitu gani kipya tofauti na hawa wengine waliopo sasa?
Hapo kocha sasa tukipata galasa ndio basi tenaHaya ndo mambo tunayataka kwenye Simba SC..!