Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Pumzi ya moto ya pale Kirumba [emoji2][emoji2][emoji2]Tayari pumzi ya moto imekufikia yaani...!
Endelea tu kupumua kwa shida..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumzi ya moto ya pale Kirumba [emoji2][emoji2][emoji2]Tayari pumzi ya moto imekufikia yaani...!
Endelea tu kupumua kwa shida..!
Huu usajili ni moja ya pendekezo la kocha wenu mkuu wa msimu ujao? Au ni pendekezo la Matola?
Klabu ya Simba leo hii Juni 15, 2022 hatimaye imetangaza rasmi kumsajili mshambuliaji hatari Moses Phiri raia wa Zambia.
Phiri amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo ya Wekundu wa Msimbazi akitokea klabu ya Zanaco FC ya nchini Zambia.
"Moses Phiri ni Mnyama, Karibu kwenye familia ya timu kubwa Afrika Mashariki na kati" imeeleza kwa ufupi taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter wa Simba SC.
Mshambuliaji huyo hatari ambaye ametua Msimbazi kuongeza chachu katika eneo la ushambuliaji, amekuwa bora sana ambapo ndani ya misimu miwili ameweza kufunga mabao 27 kwenye Ligi Kuu ya nchini Zambia.
Unataka ujibiwe ili upate nafasi ya kukosoa kwa sababu unauliza ilhali jibu unalo tayari kichwani mwako.Huu usajili ni moja ya pendekezo la kocha wenu mkuu wa msimu ujao? Au ni pendekezo la Matola?
Atawapeleka Kambole aliyefunga magoli mawilli kwenye mechi 48 alizocheza misimu miwili.Mm nasema Mosses Phiri ni mchezaji wa kawaida sana, Mugalu ana unafuu mkubwa kuliko Phiri, kama Phiri ndio wa kutupeleka nusu fainali michuano ya CAF sawa bwana
Wale mabeki wafupi?Mzee huyu, akikutana na kina bwana mdogo Kibwana, atatema nyongo
Yule tayari yupo kwenye Rada zetu.Msuva ndio nashindwa kuelewa kwann viongozi wasimu approach.Kikubwa Ni kumlipa tu hela ndefu Kama mchezaji wa kimataifa kama 15M na zaidi Hivi.Kuliko kwenda kubahatusha wachezaji wa kimataifa usio kua na uhakika nao
Kama nyinyi mlivyowahi kwa Aziz?Mkisikia Yanga wanamtaka mtu mnaamini kabisa atakuà mzuri na atawafaa,eti mnajiwahi lumtaka,
Nyie kwenye swala la scouting hamjiwezi kabisa
SIMBA kuna wachezaji walimaliza na magoili zaidi ya matatu ila hapo kwenye list uchwara sijawaona, labda ndiomaana hata Phiri hayupo.Kwahiyo phiri ndio mchezaji wa ajabu katika soka la Africa? Wakisema watoke wafumania nyavu 20 bora kwa Caf huyo Phiri atakuwepo? Angalia hapa wafungaji bora wa Caf confederation cup. Sijamaanisha ni mchezaji mbaya, bali sio mchezaji wa kutikisa Africa kwa usajili. View attachment 2262199
dah... Uto ni tatizo la jamii.Mm nasema Mosses Phiri ni mchezaji wa kawaida sana, Mugalu ana unafuu mkubwa kuliko Phiri, kama Phiri ndio wa kutupeleka nusu fainali michuano ya CAF sawa bwana
Mkuu assumption yako doesn't hold water in Africa. Kwa sababu mkimleta Kocha Mpya akifeli issue ya kwanza kujitetea nayo ni ya kukuta wachezaji ambao yeye hakuhusika kuwasajili. Refer issue ya Pablo!Unataka ujibiwe ili upate nafasi ya kukosoa kwa sababu unauliza ilhali jibu unalo tayari kichwani mwako.
Hata hivyo...Frank Lampard alifanya usajili Chelsea, lakini alitimuliwa kwa matokeo mabaya, Thomas Tuchel akaja kunufaika kwa wachezaji wale wale kwa kuchukua ubingwa wa Ulaya kwa kumfunga Man City...!
Kwahivyo performance ya timu inaweza kuwa nzuri hata kama Kocha hajashirikishwa kwenye usajili, kwasababu kinachofanyiwa kazi ni repoti ya Kocha baada ya msimu kumalizika.
Kwahivyo yote mawili yawezekana kwa Klabu kusajili au Kocha kusajili
Okay, Tutaona Kama Hersi Alipanda Ndege Kwaajili Ya Kwenda Kupiga Nae Picha Tu Au Kumsainisha Mkataba.Na nyie endeleni kumpongeza Engineer kwa kupiga picha na KI
Kila mmoja na shughuli yake yaani.!
Kwa Afrika, hasa Afrika Mashariki hakuna Kocha anasema namtaka mchezaji fulani asajiliwe na akasajiliwa, kama ikitokea ni mara chache sana, kinachofanywa ni kutumia ripoti ya mwalimu baada ya msimu kumalizika.Mkuu assumption yako doesn't hold water in Africa. Kwa sababu mkimleta Kocha Mpya akifeli issue ya kwanza kujitetea nayo ni ya kukuta wachezaji ambao yeye hakuhusika kuwasajili. Refer issue ya Pablo!
Bado mshambuliaji mwingine mkali kama Phili.
bado kiungo mkata kinyesi kama Lwanga/anatakiwa pale kati.
Tshabalala na show me the way wasaidiwe wale vijana washatumika sana wanaanza ku-flop.
Atafutwe center half mwingine wa uhakika alafu Inonga atumike namba nne,uchezaji wa namba tano wa Inonga kama mtu wa mwisho utaighalimu Simba huko mbeleni.
kocha wa viungo atafutwe mwingine injury za mara kwa mara shida ipo huko kwenye mazoezi ya viungo.
haya ni maoni tu wala sio lazima.
Mkisikia Yanga wanamtaka mtu mnaamini kabisa atakuà mzuri na atawafaa,eti mnajiwahi lumtaka,
Nyie kwenye swala la scouting hamjiwezi kabisa
Huu usajili ni moja ya pendekezo la kocha wenu mkuu wa msimu ujao? Au ni pendekezo la Matola?
Bado mshambuliaji mwingine mkali kama Phili.
bado kiungo mkata kinyesi kama Lwanga/anatakiwa pale kati.
Tshabalala na show me the way wasaidiwe wale vijana washatumika sana wanaanza ku-flop.
Atafutwe center half mwingine wa uhakika alafu Inonga atumike namba nne,uchezaji wa namba tano wa Inonga kama mtu wa mwisho utaighalimu Simba huko mbeleni.
kocha wa viungo atafutwe mwingine injury za mara kwa mara shida ipo huko kwenye mazoezi ya viungo.
haya ni maoni tu wala sio lazima.
Kama kweli tunataka kuvuka pale tunapoishia yaani robo fainali ya michuano ya CAFSimba Sisi Ni wagumu sana Kuwaachia Baadhi ya Wachezaji Kwenda Kwasababu kuna watu wananufaika pale na Wale wachezaji.
Lakini kiukweli kama tunataka kushindana tena kimataifa basi tuna wachezaji zaidi ya 10 ya kuwaacha, na kutafuta mbala wake.
Kapombe ameshachoka yule ni binadamu kucheza Dakika 90 kila mechi kwa ubora ule ule ni uongo.
Mohamed Hussein Amechoka
Mugalu kwa sasa sio Hadhi ya simba kwa sababu ameshindwa kuonesha kile alichokuwa nacho leo mzuri kesho mbaya.
Kagere msimuu huu benchi la Ufundi limeua Kiwango chake tumpe mkono wa Kwa Heri.
Bocco, Arudi Azam Akajipange tukimuhitaji tutamchukua.
Tadeo Lwanga Tumshukuru kwa Yote aje hata yule UDOH tulie mfanyia majaribio, Ni hasara sana kuwa na Mchezaji wa Nje anaye Kaa Benchi.
Bwalya Naye tumuage tumchukue mtu atakaye kipiga zaidi ya Bwalya na kumpa changamoto chama za kujiuliza.
Nyoni, Mkude, Hassan Dilunga tuwaage