Klabu ya simba inachofanya ni utapeli serikali iingilie kati wajinga wanaibiwa

Simba ina mashabiki mbumbumbu
 
Umeishia darasa la ngapi mkuu?.......Sio kwa mwandiko huo. Naomba serikali iingilie kati... 😀 😀
 
Sasa wewe inakuhusu nini, amua mkopeshe ama acha usitusumbue bana tuna mambo mengi press za chadema, mkutano mkuu wa ccm nk
 
Kanjibai hataki hasara kosa wafanye mashabiki wendawazimu halafu alipe yeye, hilo kalikataa.

Viongozi wakabuni mbinu wawapige maahabiki, na cha juu hapo ni chao.

Ama kweli wajinga ndio waliwao.
 
Lione wivu tu, kwani Kuna mtu kalazimishwa kuchangia.
 
Roho mbaya na wivu, humtesa aliyenavyo.

Ova
 
MASHABIKI WENYEWE WA SIMBA NDO WAMETAKA KUCHANGIA WALA HAWAJALAZIMISHWA.
 
Wamekuomba uwachangie?Umechangia ngapi?Nini kinakusumbua?Umeshiba supu kwa maembe wewe!Wamekushtakia kuibiwa kwao?
Chura unashangaza sana.Wewe na Mo Dewji tu!
 
Wamesahau mchango wa kiwanja cha mpira
 
Mhindi kagoma kulipa faini Kwa Ujinga wa Mashabiki wa Simba....!

Ndo maana wameamua kupitisha Bakuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…