Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Na tulinunua kadi za uanachama, ambazo huwa tunazilipia kila mwaka. Huwa tunasafiri na timu kwenye mechi zake kwa gharama zetu.Wajinga ndio mliwao
Kwetu, hii ni namna ya kuonesha mapenzi yetu kwa klabu yetu ambayo imekuwa ikitupa burudani mara nyingi zaidi kuliko kero.
Ova