Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mk
Mkuu, very impressive. Hizo record za kipekee zimezaa mataji mangapi?
Utashangaa kila mtu anajua Bingwa World Cup ni France. Wangapi watakuambia mshindi wa pili, wa tatu?
Ukiachilia mbali Kombe la Afrika na Kombe la CAFRecord mzuri sana aisee! Je, hiyo rekodi imetundika makombe mangapi pale Msimbazi?!
Mataji na mabonanza humo humo labda. Kila kitu na uzito wake.Ukiachilia mbali Kombe la Afrika na Kombe la CAF
Simba imekusanya mataji yote 51 huku Yanga ikiwa 42 pamoja na kuwa na ubingwa kwa mara 27, kwa hatua hii hakuna kama mnyama!
Kwahiyo hiyo historia hapo juu haijapeleka kombe lolote Msimbazi?! Anyway, understandable!Ukiachilia mbali Kombe la Afrika na Kombe la CAF
Simba imekusanya mataji yote 51 huku Yanga ikiwa 42 pamoja na kuwa na ubingwa kwa mara 27, kwa hatua hii hakuna kama mnyama!
Mkuu still you are focusing on history hahahahaha you could die poor in life if you live with the history of your first grandpa money.....we live the present liverpool and man u zote zinahangaika maama zinaishi katika historia kuliko usasa
Hawasikii hawa Mbumbumbu FC.Mbumbumbu ni mbumbumbu tu.
Mpira una matokeo matatu kushinda,kufungwa na kudraw.
Mumefungwa na Mbao Mkadraw na Ndanda na Yanga.
Rudini Uturuki mkaweke kambi upya.
Kila siku Umbumbumbu unaongezeka badala ya kupunguaKweli nyinyi ni Mbumbumbu, Rage hakukosea hata kidogo.
Wanajivunia mataji ya Mtani JembeMataji na mabonanza humo humo labda. Kila kitu na uzito wake.
Simba wametishaPost bora ya kufungia mwaka
Mk
Mkuu, very impressive. Hizo record za kipekee zimezaa mataji mangapi?
Utashangaa kila mtu anajua Bingwa World Cup ni France. Wangapi watakuambia mshindi wa pili, wa tatu?
Mkuu.. Baada ya lile soka la jumapili vyura vyura wote walikimbia bwawani kuhofia kukutana na Mnyama.Vyura mpoooo
Ligi ina mechi 38 unaongelea msimamo mechi tano! acha uzwazwaMnajifariji eeeeh? Yaan mbumbumbu ni wapuuzi sana tunaangalia msimamo wa ligi hizo nyingine ni ufala wa kujipa moyo lkn ukweli game plan imekubali kwa 100% kwa Yanga
Mechi tano zote hizo....msimamo wa ligi unaanza na mechi moja!. Mkiitwa mbumbumbu mnakataaLigi ina mechi 38 unaongelea msimamo mechi tano! acha uzwazwa
Akili kisodaMechi tano zote hizo....msimamo wa ligi unaanza na mechi moja!. Mkiitwa mbumbumbu mnakataa
Hongera umejitambua,...Akili kisoda