Klabu ya Simba ni zaidi ya Vilabu vyote Afrika Mashariki, Historia na Kumbukumbu

Klabu ya Simba ni zaidi ya Vilabu vyote Afrika Mashariki, Historia na Kumbukumbu

Record mzuri sana aisee! Je, hiyo rekodi imetundika makombe mangapi pale Msimbazi?!
 
Mk
Mkuu, very impressive. Hizo record za kipekee zimezaa mataji mangapi?
Utashangaa kila mtu anajua Bingwa World Cup ni France. Wangapi watakuambia mshindi wa pili, wa tatu?
Record mzuri sana aisee! Je, hiyo rekodi imetundika makombe mangapi pale Msimbazi?!
Ukiachilia mbali Kombe la Afrika na Kombe la CAF

Simba imekusanya mataji yote 51 huku Yanga ikiwa 42 pamoja na kuwa na ubingwa kwa mara 27, kwa hatua hii hakuna kama mnyama!
 
Ukiachilia mbali Kombe la Afrika na Kombe la CAF

Simba imekusanya mataji yote 51 huku Yanga ikiwa 42 pamoja na kuwa na ubingwa kwa mara 27, kwa hatua hii hakuna kama mnyama!
Mataji na mabonanza humo humo labda. Kila kitu na uzito wake.
 
Ukiachilia mbali Kombe la Afrika na Kombe la CAF

Simba imekusanya mataji yote 51 huku Yanga ikiwa 42 pamoja na kuwa na ubingwa kwa mara 27, kwa hatua hii hakuna kama mnyama!
Kwahiyo hiyo historia hapo juu haijapeleka kombe lolote Msimbazi?! Anyway, understandable!

Mataji 51 including mabonanza; au?!

Btw, bila shaka huo ubingwa mara 27 ni wa Tanzania, je timu inayomkaribia Simba ametwaa mara ngapi?!
 
Man Utd imeshabeba Uefa..Liverpool imeshabeba Uefa, ndo mafaniko na hata wale Waliofika fainali, nusu fainali si haba kwasababu wana chakuzungumzia.

Na safari hii Liverpool kama si mbinu ya Ramos tungesema mengine, hivi Vilabu kusema wanahangaika na historia kuliko usasa ni kuwakosea!

Ah labda unakusudia kuhangaika kwa namna gani?
Mkuu still you are focusing on history hahahahaha you could die poor in life if you live with the history of your first grandpa money.....we live the present liverpool and man u zote zinahangaika maama zinaishi katika historia kuliko usasa
 
Mbumbumbu ni mbumbumbu tu.

Mpira una matokeo matatu kushinda,kufungwa na kudraw.

Mumefungwa na Mbao Mkadraw na Ndanda na Yanga.

Rudini Uturuki mkaweke kambi upya.
Hawasikii hawa Mbumbumbu FC.
 
kandambili huwa wanajifariji sana.Namshukuru sana yule kocha wao kwa kusema ukweli kuwa ndala hawezi kupishana na mnyama uwanjani kwa sasa Mnyama yuko moto mno bora upaki basi angalau usiaibike
 
Mnajifariji eeeeh? Yaan mbumbumbu ni wapuuzi sana tunaangalia msimamo wa ligi hizo nyingine ni ufala wa kujipa moyo lkn ukweli game plan imekubali kwa 100% kwa Yanga
 
Simba ndio klabu ya kwanza kuwa na mfadhili mwanamke wa kiarabu..ndio maana umama mwingi kama Haji Manara
 
Mnajifariji eeeeh? Yaan mbumbumbu ni wapuuzi sana tunaangalia msimamo wa ligi hizo nyingine ni ufala wa kujipa moyo lkn ukweli game plan imekubali kwa 100% kwa Yanga
Ligi ina mechi 38 unaongelea msimamo mechi tano! acha uzwazwa
 
Back
Top Bottom