Viongozi wa Simba na Yanga hii la kutaka kujiona wanaweza sijui mpaka lini, tumesema sana humo kuhusu mchezaji Bernard Morrison kuhusu nidhamu mbovu, lakini bado tu baadhi ya viongozi hawataki kusikia.Hao wanaomtaka BM watumie akili,mchezaji ana shida juu mpaka chini unamtakaje
Yanga kaingiaje hapo na wewe si mjadili mambo yenu bila mhemkoViongozi wa Simba na Yanga hii la kutaka kujiona wanaweza sijui mpaka lini, tumesema sana humo kuhusu mchezaji Bernard Morrison kuhusu nidhamu mbovu, lakini bado tu baadhi ya viongozi hawataki kusikia.
Mchezaji mtukutu, hawezi kutulia, hawezi kucheza michezo mitano mfululizo bila kuwa na shida, wa kazi gani..!
Viongozi wa Simba na Yanga hii la kutaka kujiona wanaweza sijui mpaka lini, tumesema sana humo kuhusu mchezaji Bernard Morrison kuhusu nidhamu mbovu, lakini bado tu baadhi ya viongozi hawataki kusikia.
Mchezaji mtukutu, hawezi kutulia, hawezi kucheza michezo mitano mfululizo bila kuwa na shida, wa kazi gani..!
Yanga kahusikaje tena hapa jadilini mambo yenu bila mhemkoViongozi wa Simba na Yanga hii la kutaka kujiona wanaweza sijui mpaka lini, tumesema sana humo kuhusu mchezaji Bernard Morrison kuhusu nidhamu mbovu, lakini bado tu baadhi ya viongozi hawataki kusikia.
Mchezaji mtukutu, hawezi kutulia, hawezi kucheza michezo mitano mfululizo bila kuwa na shida, wa kazi gani..!
Sasa huoni kama wamekurahisishia hiyo kazi yako ya kusambaza maneno ya uongo?kwanini wasinge confirm kwanza ndio watoe hio taarifa hii ni kuwapa watu loophole ya kusambaza maneno ya uongo
Inamaana umeshindwa kujua kwamba swala Morrison linahusisha entinty tatu, ambazo ni Simba Sc Yanga na Morrjson mwenyewe?Yanga kaingiaje hapo na wewe si mjadili mambo yenu bila mhemko
Yanga kahusikaje tena hapa jadilini mambo yenu bila mhemko
Dua la kuku hilo.Dalili ya mvua ni mawingu. Msimu ujao Yanga atakuwa bingwa kwa mara nyingine tena.
Issue ya Morrison kuwa huenda amepewa mkono wa kwaheri na Simba kwa sababu ya nidhamu mbovu.Yanga kaingiaje hapo na wewe si mjadili mambo yenu bila mhemko
Yanga kahusikaje tena hapa jadilini mambo yenu bila mhemko
Jadili kwa kutumia akili na uwe objective bila ushabiki. Akili yako inajua kwa nini Yanga na Simba zimetajwaYanga kaingiaje hapo na wewe si mjadili mambo yenu bila mhemko
Yanga kahusikaje tena hapa jadilini mambo yenu bila mhemko
Zitapigwa tik tak za hatari mpaka fifa msimu ujaoEndelea kuhisi kuwa ni rahisi kihivyo, Simba SC anakuja kwa namna ya hatari mno msimu ujao..Haya ambayo unayodhani ni tatizo wala si tatizo na ni kawaida sana kwenye Taasisi kubwa kama Simba SC.
Wewe ndio poyoyo kabisa heading ihusu Barbra unakuja na mambo ya MorrisonInamaana umeshindwa kujua kwamba swala Morrison linahusisha entinty tatu, ambazo ni Simba Sc Yanga na Morrjson mwenyewe?
Yani yanga kutajwa hapo inakuwaje mihemko, au hii mada nayo imekuwa kubwa kuliko uelewa wako..?
Endelea kuota simba ya msimu ujao n moto maan wamejifunza mengi msimu huu kama ninyi vyura mlvyovumilia miaka 4Dalili ya mvua ni mawingu. Msimu ujao Yanga atakuwa bingwa kwa mara nyingine tena.
Yaan mie Morisson sitaki hata kumuona akiwa na jezi ya simba, mkataba uishe aondoke tyuuh.Hao wanaomtaka BM watumie akili,mchezaji ana shida juu mpaka chini unamtakaje
Barbra amekuja kuondoa tabia za kiswahili pale Simba SC, ndio maana anapigwa vita mpaka na wazee waliowahi kuitumikia Simba SC zamani.
Niko upande wa Barbra, huyu ndie mtu sahihi wa kuondoa mentality za kiswahili zilizojaa kwa wale wajumbe wengi wa bodi.
Hata kama wakimchukia na majungu mwngine kama anatembea na Mo asikate tamaa, Simba iko sehemu salama sana chini ya uongozi wake.
Kama issue ni kuhusu Morisson, hao aanomtaka abaki ndio waswahili wenyewe, wao wanawaza kuwakomoa utopolo tu, hawaangalii tabia mbaya ya Morisson inayoweza kuharibu tabia za wachezaji wengine hasa vijana, Moeisson aondoke.
Issue ya Morrison kuwa huenda amepewa mkono wa kwaheri na Simba kwa sababu ya nidhamu mbovu.
Kisha Yanga nao kutaka arudi, mpaka akina Bumbuli kulalamika kutopewa barua huoni kuwa limeamsha baadhi ya viongozi wa Simba kutaka kumbakisha..!?
Huyu kama asingetakiwa na Yanga yasingetokea haya.
Hahah umepanick tayari? 😂Wewe ndio poyoyo kabisa heading ihusu Barbra unakuja na mambo ya Morrison
Utaondoka ww co BM3Yaan mie Morisson sitaki hata kumuona akiwa na jezi ya simba, mkataba uishe aondoke tyuuh.
Kuna mtu ame hack account ya huyu jamaa, hawezi andika hivi kuhusu KoloSimba kumeanza kuwa na utoto na uswahili
Yapi mafanikio aliyoleta kwenye club kwenye msimu uliopita kama mtendaji mkuu wa club?Amesema kila kitu kipo sawa, na hakuna tatizo kwa maana anaendelea kupiga kazi pale Msimbazi.
Kuna vitu anavileta CEO Barbra vigeni kwao ambapo watu hawajazoea, ndo maana mambo yanakuwa hivyo..!
Huna macho ww mpaka usione mchango wakeYapi mafanikio aliyoleta kwenye club kwenye msimu uliopita kama mtendaji mkuu wa club?
Tuanzie hapo kwanza.