Klabu ya Simba yaahirisha taarifa iliyokuwa itoke saa 2:30 kuhusu Mtendaji Mkuu

hadi wewe umeona hili?basi tatizo lipo
mimi huwa nasimamia ukweli. haiwezekani mchezaji mmoja asiye na akili timamu anayumbisha watu. hao wanaomtaka ni maslahi binafsi tu,mtu timamu hawezi kupendekeza usajili wa Morison hata akizaliwa leo.
Mashabiki wa Simba na Yanga walio timamu wanajua hili. Ila kwa saabu Bongo mazuzu ndio wanapewa attention ndio maana inakuwa hivyo. Nchi timamu kama South hatakiwa hata kuonekana. Tofauti na bongo media inajivunia kufanya mahojiano na mwehu
 
hbhahahaha,huwa nikisoma maoni ya mashabiki simba na yanga khs timu zao,huwa sijui wanasimamiaga wapi
 
Bongo watu wanapenda taarifa mbaya sana.
Siamini huyo dada kufukuzwa kizembe hivyo
Barbara hajafukizwa ila mwenyewe kaomba kuacha kazi kwa sbb binafsi, watu wa karibu wanasema anadai amechoka kusingiziwa na kudhalilishwa, most recent ni interview ya morison
 
Huko Ukoloni inaonesha Kuna jambo Fulani tena si Zuri, maana kama walishapanga Kusema jambo na wamehairisha(sijui ndo inaandikwa hvyo maana me ni Msomali) basi Kuna tatizo lingine la pili..
Ila wafiche tu tutakuja kufahamu mbivu na mbichi
 
Barbara hajafukizwa ila mwenyewe kaomba kuacha kazi kwa sbb binafsi, watu wa karibu wanasema anadai amechoka kusingiziwa na kudhalilishwa, most recent ni interview ya morison
Anasubiri nin kutangaza kuwa kajing'atua? Au mpaka apigwe mawe?
 
Barbara hajafukizwa ila mwenyewe kaomba kuacha kazi kwa sbb binafsi, watu wa karibu wanasema anadai amechoka kusingiziwa na kudhalilishwa, most recent ni interview ya morison
Mmh kwani ameachia mkuu?
Huyo dada inaonyesha hapaendi uswahili swahili wa kibongo hivyo ni ngumu kuitumikia simba
 
Eti mchezaji analalamika hajaambiwa happy birthday
Tuna mchezaji wa ajabu sana kwa wakati huu.

Kama aliweza kumkimbiza shabiki na bisibisi au kuvua bukta na kuweka kichwani, Afrika Kusini hawawezi kwenda naye..Hivi anawezaje kuwa mchezaji ndani ya Simba SC kwa matukio ya ajabu kiasi hiki.
 
Endelea kuhisi kuwa ni rahisi kihivyo, Simba SC anakuja kwa namna ya hatari mno msimu ujao..Haya ambayo unayodhani ni tatizo wala si tatizo na ni kawaida sana kwenye Taasisi kubwa kama Simba SC.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…